Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Amecheza stakhishari Fc
Mbona ukawa unazunguka kama msichana mkuu!! Si ungejibu tu!!

Kwa kifupi jemedari hapimwi kwa kupigana vita moja!! Ukiona umepigana vita moja ujue bado sana kuwa jemedari mkamilifu!!

Watu wamepigana ya pili ya dunia, vita ya vietnam...vita baridi...vita ya iraq na afghanistan alafu akamalizia syria!!

Japo wote ni wanajeshi ila huwezi mlinganisha na mtu aliyepigana vita ya kagera tu!!

Mtu wa vita moja atangoja sana kwa jemedari aliyepigana vita nyingi na akashinda zote!!
 
Leo nimeamin kuna baadhi ya mashabiki wa Madrid ni vilaza kama ww

Mimi sio wa Madrid ila naona kama unatumia hasira sana kujibizana na wapenda soka wenzio. Ujue mdau anaweza kukujibu kwa utani tuu so pima kiaina na sio kujibu makavuu. Huwa hurushi ngumi kweli wakati wa games?????
 
1.Sergio busquets hawana mpango wa kumuuza
2.anathaminika sana barcelona ndo maana anacheza kila msimu bila kua na sub.
3.pia sergio anafaa mifumo flani. Yule sii mpiga buti. Mourinho tunavomjua mpaka sasa namba 6 wake wengi anapenda wachafue. Mfano vidal au casmeiro wanaeza wakamfaa
Hususani Casemiro, ndio maana hata Pepe aliwakuwa akimchezesha Namba 6. Anapenda watu wa kukanyaga.
 
Mchezo wa mpira ni mchezo wa furaha,upendo, utani mwingi pamoja na tambo za hapa na pale za kishabiki hili kunogesha ushindani kwanzia ndani mpaka nje ya uwanja.

Ila sasa kuna mashabiki WUPUMBAVU, WASIOKUWA NA HAYA,WALIOJAZA VINYESI BADALA YA UBONGO KATIKA VICHWA VYAO, WALIOJAMPWA NA MAMA ZAO BADALA YA KUZALIWA, WALIOKUZWA NA WASIMBE NA HAWANA NA CHEMBE YA KISTAARABU KAMA WEWE HAPO unaejiita sergio5, ndio mnafanya mpira uonekane ni mchezo wa chuki na unashabikiwa na walevi.

Comment yangu inaweza kuwa ni ya kipuuzi sawa kwa kumfananisha Sergio na hamis tambwe lakini hizo ni kauli za kawaida katika ushabiki, lakini sasa kitendo cha wewe kunitusi tena ukiwa nje kabisa ya mada, seriously ni kitendo ambacho hakivumiliki kwangu, ngoja nikwambie naujua vizuri kuliko nyie mashabiki mbuzi msiojua Ku handle mjadala kistaarabu! Sina haja ya kukwambia ground za comment yangu KUNGURU wewe sababu haustahili.

Kuna mda wa ushabiki na mda wa uchambuzi,ukishindwa kuondoa ushabiki kwenye uchambuzi wa mchezaji/timu/mechi flani utakua umefeli.
 
Mbona ukawa unazunguka kama msichana mkuu!! Si ungejibu tu!!

Kwa kifupi jemedari hapimwi kwa kupigana vita moja!! Ukiona umepigana vita moja ujue bado sana kuwa jemedari mkamilifu!!

Watu wamepigana ya pili ya dunia, vita ya vietnam...vita baridi...vita ya iraq na afghanistan alafu akamalizia syria!!

Japo wote ni wanajeshi ila huwezi mlinganisha na mtu aliyepigana vita ya kagera tu!!

Mtu wa vita moja atangoja sana kwa jemedari aliyepigana vita nyingi na akashinda zote!!
Vita na mpira wapi na wapi timu ipi nzuri yenye ubora unayoijua ambayo hajakutana nayo
Umepoteza kuandika maandishi kibao ambayo hayana maana Mara kagera,iran ,Vietnam,kumbe taarabu tupu
 
Mimi sio wa Madrid ila naona kama unatumia hasira sana kujibizana na wapenda soka wenzio. Ujue mdau anaweza kukujibu kwa utani tuu so pima kiaina na sio kujibu makavuu. Huwa hurushi ngumi kweli wakati wa games?????
Leo unaikataa timu yako pendwa cio
 
Back
Top Bottom