Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Tafadhali Tafadhali Tafadhali



Tufollow Instagram kama kandanda24 kupata updates za soka bongo na barani ulaya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Casemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wewe unataka kuleta umadrid na ubarcelona..........
Hapa tunazungumzia soka kwa ujumla.........
 
Acha masihara 35 wakati pep aliweka 50 zikakataliwa au unafikir Sergio ni kma carric cio?
Uko sawa mkuu Sergio ni kiungo mzuri sana, ila kunogesha habari sio lazima useme uongo, tunaomba uthibitisho msimu upi pep aliweka paun mil 50 kwa sergio zikakataliwa ili twende sawa

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Uko sawa mkuu Sergio ni kiungo mzuri sana, ila kunogesha habari sio lazima useme uongo, tunaomba uthibitisho msimu upi pep aliweka paun mil 50 kwa sergio zikakataliwa ili twende sawa

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo thamani yake ni 35 kama kante cio?
 
Wapenz wa epl hapa wanaleta mahaba ya ligue badala ya kujadili uwezo wa SB.Kuna jamaa amemzungumzia casemiro kwenye game ya juzi ya barca.kama anaweza amuulize Zidane kwanini alimpiga sub.NI rahisi kumtoa mchezoni Casemiro kuliko Sergio hapa ndipo tunaposema Huyu hafanani Na huyu casemiro.Sergio kakomaa kiakili kwenye nafasi anayocheza.anajua afanye nini kwa wakati gani na maeneo gani .tusimfananishe na watu wenye akili fupi na nguvu nyingi.Kwa nafasi ya namba 6 kwa sasa bado sijaona wakumfananisha na Sergio.wapo wanaofunga sana,wanaokimbia sana na wanaopiga chnga sana lakin huyu anakila kitu unachokitaka kwa wakati sahihi.naomba kuwasilisha
 
Viungo wakabaji kwa sasa ambao ni bora ni

1. Sergei Busquet
2. Victor Wanyama
3. Casemiro
4. Mussa Dembele wa spurs
5. Arturo Vidal
Sasa hapa inategemea na aina ya mfumo. Kama mtakumbuka Javie Mascherano kabla ya kupangwa kama beki wa kati alikuwa ni binge la holding middlifilder. Lakini mfumo wa Barcelona ukampa nafasi Busquet wa kuwa kiungo mkabaji na javie kuwa central back.
Mwangalieni Victor Wanyama. Vitu alivyonavyo Kante anasubiri. Physics jamaa tupo vizuri. Skills Kante bado hamfikii huyu jamaa.

Arturo Vidal yeye anacheza jihadi. Anakaba, anashambulia na anafunga. Huyu anafanana va Casemero.


Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Kiungo mbovu kuliko wote duniani, anayesafiria nyota ya baba...
 
Physics ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…