Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Nashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.

Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder. Kusema kweli Sergio Busqet ni kiungo mkabaji pengine wa muda wote sema hapewi sifa zake na wadau wa soka.

Najua mtashangaa, kwakuwa wengi mmekariri kuona namba sita akiwa na sifa ya kupiga makwanja (tackling) lakini kwa Sergio habari ni tofauti yeye anajua sana kukaba nafasi na kufanya interception huku akiwa na jicho la ziada la kuanzisha mashambulizi yenye akili. Kwakifupi huyu ndio muhimili wa Barca na Timu ya taifa ya Spain.

Ifikie muda tuanze kutambua mchango mkubwa wa Sergio hasa wakati huu ambao akina Messi na Neymar wakiongezewa mikataba minono kuliko Busqet.

Ningefurahi kama siku moja Mou au Guardiola wakimleta EPL Sergio Busquet, mmoja kati ya wachezaji wasiopewa heshima na sifa zake!
Busquet, Carrick, Xabi Alonso wanafana kila kitu.
Huwa tunawaita Invisible midfielder
 
Ivi I meshawahi kuifikilia barca bila busquets?
Ilipigwa 3 bila na juventus bila yeye neymar na messi wakiwa ndani sasa point yako ni ipi?

Kwaiyo unataka kutwamba Yeye ndio Best player ndani ya Barca?
 
Ivi I meshawahi kuifikilia barca bila busquets?
Ilipigwa 3 bila na juventus bila yeye neymar na messi wakiwa ndani sasa point yako ni ipi?

Acha mambo yakishabiki ayo. Hebu nenda kamtafute Senna au De rossi uwatizame vizuri jamaa walivo kamilika.
 
Wewe ndyo unaushabiki wa kipuuzi hao unaowataja wamezisaidia nini team zao?

Roma kila siku mavi mavi tu

Senna alikua best player for Spain katika euro 2008. na kama hutambui heshima ya De rossi kwenye ulimwengu wa soka Tukupe pole tu.
Au weye ni mzao wa RONALDO-MESSI error?
 
Huyu jamaa kaanza kuangalia mpira 2010 ndiyo maana anampamba sana huyo mchumba wake.
 
mnamsifia huyo punguONE aliyepotezwa na mtoto mdogo JACK WILSHARE aaaahhhhhhhh nyie mnaoangalia mpira kwa ajili ya kubet
 
Back
Top Bottom