Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake.

Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji"

Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi wanasiasa wanalima umasikini na kupalilia umasikini na kuvuna umasikini.

Wananchi wake ni masikini sana.

Tanzania. je kuwa MWANASIASA na kufanyabiasha nini kina Lipa kwa haraka?
 
Kufanya Sii Hasaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ