Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Elimu elimu elimu...hakuna nchi ambayo haikupita hatua ya kuwa na wamachinga..hata new york hata jerusalem..hata london hata dubei at a time iliwai kuwa na machinga.soo mtoa mada nao a ni elimu tu ndio shida..pole sana...huyo bakhersa mwenyew alikua chinha...pumba.f sana mtoa mada
 
Umeongea urojo
 
Kuchamba unajua ila Umekosa dera na shanga kiunoni tu. Hongera
 
Na ma toy ya watoto, mavipodozi, manywele bandia n.k haya mavitu hayana tija yoyote, yangepigwa marufuku tu ili kukuza ubunifu wa ndani na kuokoa fedha za kigeni kutumika hovyo
 
Jibu hoja zangu acha maneno...nijib kuwa nmeongea uongo au ukwel..ili nijue kama umeenda shule kwel au bla bla
Vaa shanga kiunoni kwanza ndio nitakujibu.
 
Vaa shanga kiunoni kwanza ndio nitakujibu.
Elim elim elim.dah..haya mchana mwema ostaz juma..mnaambiwa kila siku madrasa hazisaidii..peleken watoto shule...matokeo ndo haya...mtu hujui hata historia ya uchumi ya dunia..unakuja andika ujinga unasahau jukwaa lina wasomi hili.hahahaha
 

wenzako wanafunga milango,kitu wanachotaka ni jiji kuwa safi.

unajua wengine tunapiga kelele sio kwamba tunapenda saba wamachinga na umachinga,ni sababu tunajua uamizi uliochukuliwa mi kutafuta matokeo ya kijinga.
 
Hatuko uchumi wa kati, tulishushwa ila tupo uchumi wa kati kwenye vyombo vya habari

usipokuwa makini utaishia hapo hapo katikati ya mapaja.

na hivi unadhani machinga wanakusababishia njaa!!!
 
Elim elim elim.dah..haya mchana mwema ostaz juma..mnaambiwa kila siku madrasa hazisaidii..peleken watoto shule...matokeo ndo haya...mtu hujui hata historia ya uchumi ya dunia..unakuja andika ujinga unasahau jukwaa lina wasomi hili.hahahaha
Miss u baby!
 
Machinga hawapo kwa ajili ya kufanya biashara ili Serikali ipate kodi na inapotokea wakachangaia kwenye kodi ya Serikali hiyo inakuwa ni by the way, ila si kusudi la uwepo wao. Machinga wapo kwa ajili ya kujitafutia kipato cha kila siku ili waweze kula kwa siku hiyo, halafu siku inayofuata inakuwa na mahesabu mengine tena. Uwepo wa machinga unasababishwa na ukosefu wa ajira pamoja na ukosefu wa elimu pia. Uwepo wa viwili hivi huwa hauwezi kuchangia kukua kwa uchumi wa nchi na katika hali ya kawaida hatutakiwai kuwa tunawapigia mahesabu ya aina hiyo, inabidi tuwa-exclude
 
Ni kweli kwa hawa ndugu zetu kupata mkopo ni ngumu sana, lakini hakuna namna lazima solution itafutwe tuu la sivyo litakuwa tatizo la kila mtu
 
Nafikiri zaidi ni ukosefu wa ajira, kuna chinga wamesoma nasikia, miji,masoko etc ianze kuwatumia kuwapa temporary work kama kusafisha mitaro,barabara,masoko,kupanda miti & maua etc inaweza kusaidia kidogo kupunguza njaa zao na uchafu wa miji yetu kwa bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…