Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Elimu elimu elimu...hakuna nchi ambayo haikupita hatua ya kuwa na wamachinga..hata new york hata jerusalem..hata london hata dubei at a time iliwai kuwa na machinga.soo mtoa mada nao a ni elimu tu ndio shida..pole sana...huyo bakhersa mwenyew alikua chinha...pumba.f sana mtoa mada
 
Nakubaliana na wewe. Ni heri kumvumilia machinga anayeuza mahindi ya kuchoma, miwa, cripsy, karanga, maziwa ya ndani n.k kuliko yule anayezunguka na saa, handkerchief, vehicle accessories (spana, crew driver n.k) vijola n.k kutoka nchi zingine. Hapa usitegemee nchi kukua, tutabaki kutegemea wahisani kutoka ughaibuni.
Umeongea urojo
 
Elimu elimu elimu...hakuna nchi ambayo haikupita hatua ya kuwa na wamachinga..hata new york hata jerusalem..hata london hata dubei at a time iliwai kuwa na machinga.soo mtoa mada nao a ni elimu tu ndio shida..pole sana...huyo bakhersa mwenyew alikua chinha...pumba.f sana mtoa mada
Kuchamba unajua ila Umekosa dera na shanga kiunoni tu. Hongera
 
Serikali inatakiwa kufanya haya strategically ili isijezuia bidhaa ambazo haziwezi kutengeneza. Mfano, huwezi zuia simu wakati huwezi kutengeneza. Lakini unaweza kuzuia au kuweka kodi kubwa kwenye vichanio/vitana, nguo za mitumba, tootpick na vikolokolo vingine vingi huku ukisaidia wazalishaji binafsi kuweza kuzalisha vitu hivyo.

Hakuna nchi imewahi kuendelea bila kupitia njia hii, hii habari ya soki huria ni uongo mtupu.
Na ma toy ya watoto, mavipodozi, manywele bandia n.k haya mavitu hayana tija yoyote, yangepigwa marufuku tu ili kukuza ubunifu wa ndani na kuokoa fedha za kigeni kutumika hovyo
 
Vaa shanga kiunoni kwanza ndio nitakujibu.
Elim elim elim.dah..haya mchana mwema ostaz juma..mnaambiwa kila siku madrasa hazisaidii..peleken watoto shule...matokeo ndo haya...mtu hujui hata historia ya uchumi ya dunia..unakuja andika ujinga unasahau jukwaa lina wasomi hili.hahahaha
 
Hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.

Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.

wenzako wanafunga milango,kitu wanachotaka ni jiji kuwa safi.

unajua wengine tunapiga kelele sio kwamba tunapenda saba wamachinga na umachinga,ni sababu tunajua uamizi uliochukuliwa mi kutafuta matokeo ya kijinga.
 
Hatuko uchumi wa kati, tulishushwa ila tupo uchumi wa kati kwenye vyombo vya habari

usipokuwa makini utaishia hapo hapo katikati ya mapaja.

na hivi unadhani machinga wanakusababishia njaa!!!
 
Elim elim elim.dah..haya mchana mwema ostaz juma..mnaambiwa kila siku madrasa hazisaidii..peleken watoto shule...matokeo ndo haya...mtu hujui hata historia ya uchumi ya dunia..unakuja andika ujinga unasahau jukwaa lina wasomi hili.hahahaha
Miss u baby!
 
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi.

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Machinga hawapo kwa ajili ya kufanya biashara ili Serikali ipate kodi na inapotokea wakachangaia kwenye kodi ya Serikali hiyo inakuwa ni by the way, ila si kusudi la uwepo wao. Machinga wapo kwa ajili ya kujitafutia kipato cha kila siku ili waweze kula kwa siku hiyo, halafu siku inayofuata inakuwa na mahesabu mengine tena. Uwepo wa machinga unasababishwa na ukosefu wa ajira pamoja na ukosefu wa elimu pia. Uwepo wa viwili hivi huwa hauwezi kuchangia kukua kwa uchumi wa nchi na katika hali ya kawaida hatutakiwai kuwa tunawapigia mahesabu ya aina hiyo, inabidi tuwa-exclude
 
Kwa biashara ya Umachinga huwezi kukopa Benki sio tu kwasababu hutakubaliwa bali pia ni hatari zaidi kumudu unless wewe uwe machinga kivuli ( wale wenye maduka wanaojiita machinga). Katika taasisi yoyote ya fedha mtu anae kopesheka ni kati ya hawa
1. Ana Cash Collateral/ any Collateral Security
2. Ana Umiliki wa Asset which can be valuated
3. Mwajiriwa wa taasis (binafsi/serikali) na ana salary slip za miezi kadhaa ya karibuni
4. Ana referee au mtu aliyekubali kumwekea dhamana na mtu huyo lazima awe na kimoja kati ya hivyo juu

sasa kwa unavyoona Machinga anamudu hayo?
Ni kweli kwa hawa ndugu zetu kupata mkopo ni ngumu sana, lakini hakuna namna lazima solution itafutwe tuu la sivyo litakuwa tatizo la kila mtu
 
Elimu elimu elimu...hakuna nchi ambayo haikupita hatua ya kuwa na wamachinga..hata new york hata jerusalem..hata london hata dubei at a time iliwai kuwa na machinga.soo mtoa mada nao a ni elimu tu ndio shida..pole sana...huyo bakhersa mwenyew alikua chinha...pumba.f sana mtoa mada
Nafikiri zaidi ni ukosefu wa ajira, kuna chinga wamesoma nasikia, miji,masoko etc ianze kuwatumia kuwapa temporary work kama kusafisha mitaro,barabara,masoko,kupanda miti & maua etc inaweza kusaidia kidogo kupunguza njaa zao na uchafu wa miji yetu kwa bei rahisi
 
Back
Top Bottom