Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Tanzania itakuwa ya kwanza
 
Machinga ni zao la ndoto ya wanasiasa. Nchi huendelea kwa shughuli za uzalishaji, si umachinga.
 
Aliyekuwa anajinadi ni mfuata sheria aligeuka ni mvunja sheria(rejea uvanjaji wa jengo la tanesco ubungo na suala la wamachinga)
 
wakati mwingine unapo andika kitu uwe unafikiria,unaposema wa machinga ni bomu kwani wewe ununuagi vitu kwa wamachinga?serikali kwa hapo wamebugi na wakijifanya wanatumia nguvu,na kuhakikishia vurugu itakayo tokea itakuwa historia,serikali wajishushe waende sawa nao.waeke utaratibu mnzuri kwamba wamachinga wasogee barabarani kidogo na kila mmachinga anayefanya biashara lazima awe na kitambulisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…