Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi.

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Tanzania itakuwa ya kwanza
 
Machinga ni zao la ndoto ya wanasiasa. Nchi huendelea kwa shughuli za uzalishaji, si umachinga.
 
Machinga na boda boda ni baadhi ya 'magenge' ambayo ni kama bomu la muda kwa usalama wa taifa letu, sijui wenye mamlaka kwanini wameyaacha haya magenge yakaendela kukua kwa kasi, akili na hela nyingi zitatumika kwa muda huu kuweka mambo sawa (st least boda boda wanajipanga siku hizi), ikishindikana basi itakuja kumwagika damu hapo baadae...tuishi kwa utaratibu na kila mmoja aheshimu sheria zilizopo
Aliyekuwa anajinadi ni mfuata sheria aligeuka ni mvunja sheria(rejea uvanjaji wa jengo la tanesco ubungo na suala la wamachinga)
 
wakati mwingine unapo andika kitu uwe unafikiria,unaposema wa machinga ni bomu kwani wewe ununuagi vitu kwa wamachinga?serikali kwa hapo wamebugi na wakijifanya wanatumia nguvu,na kuhakikishia vurugu itakayo tokea itakuwa historia,serikali wajishushe waende sawa nao.waeke utaratibu mnzuri kwamba wamachinga wasogee barabarani kidogo na kila mmachinga anayefanya biashara lazima awe na kitambulisho
 
Back
Top Bottom