Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pamoja na huduma bomba Ila comfortability ya ndege hizi kule angani ni kubwa sana,hata Kama Kuna misukosuko angani kushake kwake si kukubwa Kama hizi ndege nyingine.Ni ndege kubwa na zina nafasi ya kutoshaWengine hatujawahi kupanda ndege, hebu tushawishi, kuna huduma zipi hasa ambazo hazipo katika ndege zingine?
Routes zake ni za wapi?
Walao tujipange
Mkuu pamoja na huduma bomba Ila comfortability ya ndege hizi kule angani ni kubwa sana,hata Kama Kuna misukosuko angani kushake kwake si kukubwa Kama hizi ndege nyingine.Ni ndege kubwa na zina nafasi ya kutoshaWengine hatujawahi kupanda ndege, hebu tushawishi, kuna huduma zipi hasa ambazo hazipo katika ndege zingine?
Routes zake ni za wapi?
Walao tujipange
Kwahiyo inaweza kuikaribia Air Tanzania ,the wings of Kilimanjaro?Mkuu pamoja na huduma bomba Ila comfortability ya ndege hizi kule angani ni kubwa sana,hata Kama Kuna misukosuko angani kushake kwake si kukubwa Kama hizi ndege nyingine.Ni ndege kubwa na zina nafasi ya kutosha
Umeshapanda B787-8 au unawaza tu mkuu? tecnology ilioko kwenye hii ndege ni ya kisasa sana,ina engine kubwa,ina speed nzuri na inatulia sana angani,pia mifumo yake ya kuchuja hewa ndani haina tofauti na ya A380,penda vya kwako mkuu kwenye dreamliner hatujachemsha kabisa ule mpini sio wa kitoto kama unavyojaribu kutuaminisha...Ndege kubwa kabisa inayomilikiwa na air Tanzania ni B787-8 ambayo ni ndege ndogo ukilinganisha na hizo nilizozitaja hapo juu mkuu
Mkuu KQ wanatumia ndege hiyo yaani B787-8 Nairobi Landon,Nairobi- Amsterdam.Nairobi- Hong Kong na Quanzuu,nimeitumia sana hiyo ya Nairobi- Amsterdam na Nairobi - London.Hamna kitu mleUmeshapanda B787-8 au unawaza tu mkuu? tecnology ilioko kwenye hii ndege ni ya kisasa sana,ina engine kubwa,ina speed nzuri na inatulia sana angani,pia mifumo yake ya kuchuja hewa ndani haina tofauti na ya A380,penda vya kwako mkuu kwenye dreamliner hatujachemsha kabisa ule mpini sio wa kitoto kama unavyojaribu kutuaminisha...
Wewe, hebu jaribu kusafiria hi ndege Kisha utanishukuru baadae🦉Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
Ethiopia Wana B787-10 wanaipeleka Mauritius,comoro kupitia DarUmeshapanda B787-8 au unawaza tu mkuu? tecnology ilioko kwenye hii ndege ni ya kisasa sana,ina engine kubwa,ina speed nzuri na inatulia sana angani,pia mifumo yake ya kuchuja hewa ndani haina tofauti na ya A380,penda vya kwako mkuu kwenye dreamliner hatujachemsha kabisa ule mpini sio wa kitoto kama unavyojaribu kutuaminisha...
Kimara inashusha abiria?Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
Sawa basi kata tiketi mbili, mimi siti ya mlangoni ili niwahi kushuka
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
[/QUOTHata mkiwa kwenye turbulence huwezi kutambua aisee kwa haraka ni kweli unforgettable sky cruising Rome adis Ababa