Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

Swala la udogo wa B787-8 sikatai,hebu soma hapa sio maneno yangu hayo "The 777 is a 250 to 400 passenger capacity plane, while 787 is the smaller 200 to 300 class, effectively replacing the 767, albeit slightly larger. The 787 also has longer range and more fuel efficient, thanks to its sophisticated new design"...
Mkuu unacompare dreamliner na B767 au Dreamliner na B777? Kama unacompare na B777 basi you got it wrong,B777 inaizidi 787-8 kwa Kila idara
 
Mkuu unacompare dreamliner na B767 au Dreamliner na B777? Kama unacompare na B777 basi you got it wrong,B777 inaizidi 787-8 kwa Kila idara
Najua hapa hatutaelewana,wewe unazungumzia ukubwa wa ndege,mimi hilo sikatai lakini unapoongelea masuala ya kupasua anga huwezi kulinganisha B777 ya 1995 na B787 ya 2011,tofauti ya miaka 16 kiteknolojia unakuwa umeachwa mbali sana.Soma vizuri kwenye post no.40 hayo maneno nilio bold,huo ndio uhalisia...
 
Mb
Raha ya ndege ni time inatua au wakati inapaa ila huko juu ni hakuna chochote zaidi ya mawingu na screen na wahudumu na misosi na manunuzi kama una pesa.

It’s far better hata kusafiri na bus luxury mtaona wanyama mtasimama kula, mtaona mandhari kedekede za kuvutia.

Hata hivyo kwangu Emirates ni habari nyingine kwa ndege nilizowahi kupanda. Kuanzia services zao hadi urembo wa wahudumu.

Ila kiukweli mmenishinda hii tabia ya kumeza sijuia Airbus ngapi ngapi [emoji847][emoji847][emoji847]
Mbona kaz rahisi tu ni km majina ya simu sio lazima ujue yote boeing na airbus ndio kampuni kubwa
 
Boeing 777-300ER wanatumia Emirates Dar-Dubai iko vizuri.
Tuwawekee na tupicha kidogo
Screenshot_20200719-230238.jpg
Screenshot_20200719-230039_1595188871726.jpg
 
Niliwahi panda A350 ya singaporeairline premier economy ni balaaa iyo ndege so sweety. (Sio route ya Tz ni kwalalumpa to Hearthrow )
 
Back
Top Bottom