Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
7,877
Reaction score
8,804
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
 
Wengine hatujawahi kupanda ndege, hebu tushawishi, kuna huduma zipi hasa ambazo hazipo katika ndege zingine?

Routes zake ni za wapi?

Walao tujipange
Mkuu pamoja na huduma bomba Ila comfortability ya ndege hizi kule angani ni kubwa sana,hata Kama Kuna misukosuko angani kushake kwake si kukubwa Kama hizi ndege nyingine.Ni ndege kubwa na zina nafasi ya kutosha
 
Boeing 777-300ER wanatumia Emirates Dar-Dubai iko vizuri.
 
KLM pia wanatumia ndege hiyo Dar- Amsterdam na watumia B743 Nairobi - Amsterdam,British airways wanatumia A380 Johanburg_ london
 
Mkuu pamoja na huduma bomba Ila comfortability ya ndege hizi kule angani ni kubwa sana,hata Kama Kuna misukosuko angani kushake kwake si kukubwa Kama hizi ndege nyingine.Ni ndege kubwa na zina nafasi ya kutosha
Kwahiyo inaweza kuikaribia Air Tanzania ,the wings of Kilimanjaro?
 
Ndege kubwa kabisa inayomilikiwa na air Tanzania ni B787-8 ambayo ni ndege ndogo ukilinganisha na hizo nilizozitaja hapo juu mkuu
Umeshapanda B787-8 au unawaza tu mkuu? tecnology ilioko kwenye hii ndege ni ya kisasa sana,ina engine kubwa,ina speed nzuri na inatulia sana angani,pia mifumo yake ya kuchuja hewa ndani haina tofauti na ya A380,penda vya kwako mkuu kwenye dreamliner hatujachemsha kabisa ule mpini sio wa kitoto kama unavyojaribu kutuaminisha...
 
Mkuu KQ wanatumia ndege hiyo yaani B787-8 Nairobi Landon,Nairobi- Amsterdam.Nairobi- Hong Kong na Quanzuu,nimeitumia sana hiyo ya Nairobi- Amsterdam na Nairobi - London.Hamna kitu mle
 
Ethiopia Wana B787-10 wanaipeleka Mauritius,comoro kupitia Dar
 
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
[/QUOTHata mkiwa kwenye turbulence huwezi kutambua aisee kwa haraka ni kweli unforgettable sky cruising Rome adis Ababa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…