Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

Mkuu unacompare dreamliner na B767 au Dreamliner na B777? Kama unacompare na B777 basi you got it wrong,B777 inaizidi 787-8 kwa Kila idara
 
Mkuu unacompare dreamliner na B767 au Dreamliner na B777? Kama unacompare na B777 basi you got it wrong,B777 inaizidi 787-8 kwa Kila idara
Najua hapa hatutaelewana,wewe unazungumzia ukubwa wa ndege,mimi hilo sikatai lakini unapoongelea masuala ya kupasua anga huwezi kulinganisha B777 ya 1995 na B787 ya 2011,tofauti ya miaka 16 kiteknolojia unakuwa umeachwa mbali sana.Soma vizuri kwenye post no.40 hayo maneno nilio bold,huo ndio uhalisia...
 
Mb
Mbona kaz rahisi tu ni km majina ya simu sio lazima ujue yote boeing na airbus ndio kampuni kubwa
 
Niliwahi panda A350 ya singaporeairline premier economy ni balaaa iyo ndege so sweety. (Sio route ya Tz ni kwalalumpa to Hearthrow )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…