hakuna njia mbadala

hakuna njia mbadala

jamani mi sidhani kama amekosea kusema maji yanaruka mpk usoni,kwasababu haya ni matumizi tu ya lugha ktk kuonesha msisitizo ktk maelezo yake wenyewe twasema kutia chumvi(mubalagha/hyperbole) ili kunogesha,cha msingi hapa ni kumpa tu ushauri na si kujadili hiyo kauli aliyoitumia mradi ujumbe umefika.Mbona watu hutumia kauli kama vile"unakoga MWAKA MZIMA!"mbona huwa hatushangai wala kuhoji?jamani acheni kuvamia upupu na kuacha kujadili key points.MTAZAMO WANGU TU,TUSITAFUTANE.
 
Back
Top Bottom