Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,104
Reaction score
917
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.

Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.

Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kuna kipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
 
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.

Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.

Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Si kweli kwamba hakuna ajira mpya. Walau litendee haki jina lako.
 
Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.

Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Si bure kunakitu tunafichwa kwenye Pato la Taifa,haiwezekani tuwe na rasilimali zote alafu tuwe tunaendesha nchi Kwa kutegemea bia,sigara na mikopo mikubwa plus tozo za miamala alafu mambo yapo vile vile hakuna maboresho ya mishahara wala ajira mpya...!

Kunauwezekano mkubwa watu wachache katika uongozi wananufaika na hii hali uwenda Kuna out source za nchi hii zinapitiliza kwenye mifuko Yao binafsi.

Nguvu kubwa inayotumika kuzuia katiba mpya ndiyo kitu ambacho kinatupa ukakasi wa kuhisi Kuna mambo mabaya yanafanyika kupitia katiba ya zamani.

Kwa hali ya sasa katiba mpya inahitajika Kwa Tanzania hakuna mjadara juu wa hili.
 
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.

Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.

Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Tafuta shughuli wacha majungu!
 
Si kweli kwamba hakuna ajira mpya. Walau litendee haki jina lako.
Lete takwimu zako sahihi Kisha tutofautishe na Awamu tangulizi kama upo sahihi na hicho unacho kiunga mkono.

Tukiangalia Awamu tangulizi Kabla ya Awamu ya 5 na 6 zote zilikuwa zinaongeza mishahara Kwa watumishi wote pia Madara wanapandishwa Kwa wakati na hakukuwa na umati wa wahitimu wa vyuo uraiani kama ilivyo Awamu ya 5 na 6
 
Si bure kunakitu tunafichwa kwenye Pato la Taifa,haiwezekani tuwe na rasilimali zote alafu tuwe tunaendesha nchi Kwa kutegemea bia,sigara na mikopo mikubwa plus tozo za miamala alafu mambo yapo vile vile hakuna maboresho ya mishahara wala ajira mpya.....
Hilo siyo la kushangaa maana ndani ya ccm kila kitu kinawezekana
 
Nasikia anajihusisha na mambo ya kwao huko Zanzibar. Kama kukutana na ACT Zanzibar lakini hakukutana na CHADEMA bara ili kuondoa tofauti zao.
Kwani kukutana na ACT zazibar ni kosa? Kavunja katiba, watu wa bara tuna roho mbaya ubinafsi na visasi, tunachukia chadema unadhani sio ndg zetu, unadhani Mbowe angekua anatokea Zazibar angefungwa mda wote huo bila kosa linalo julikana?
 
Kwa hili nakuunga mkono. Kukaa ndani kwa Mbowe huku hata Pc Msemwa akijua ametoa ushahidi wa uongo kwa maelekezo ya viongozi wake ambao ni Wabara ni ubinafsi na ukaburu wa Wabara.
 
Back
Top Bottom