Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Kwani kukutana na ACT zazibar ni kosa? Kavunja katiba, watu wa bara tuna roho mbaya ubinafsi na visasi, tunachukia chadema unadhani sio ndg zetu, unadhani Mbowe angekua anatokea Zazibar angefungwa mda wote huo bila kosa linalo julikana?
Hakuvunja katiba yeyote,lakini tunahoji Dadema imenifanya nini Mama? Kwanini anaigopa kuliko msaafu?
 
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.

Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.

Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Ni majizi ya CCM yananunua mavi 8
 
Msingi hakuna wala mtaro tafuta hata cha kubeba zege hutopoteza muda!
Watu kama nyinyi ndiyo ndugu zake na siro ambao mpo mpo kama hampo. Kutete maovu ndiyo kula yenu ilipo.
 
Attachments

  • 3050673-70ed7ff736572eba7ef3574c8933ac24.mp4
    3.3 MB
Tozo ni Njia pekee ya kuwalipa wale imbonerakure wa Burundi!!ambao walidai chao baada ya kuwa na wasiwasi kutolipwa !hasa jpm alipoenda kwenye ule usingizi wa milele!
Mimi simo,ngoja mwiguru aje. Nasikia yumo humu.
 
Ajira gani tena mkuu siku chache zilizopita walimu wa kutosha wameajiriwa, idara ya afya wamelamba ajira, askari magereza, uhamiaji, zimamoto na police wamelamba ajira na wengineo wengi,pia watumishi wamelipwa madai yao na kupandishwa madaraja ikiwemo kubadilishiwa mishahara yao wewe upo dunia gani mkuu. kuhusu kuongezeka kwa mishahara watumishi wamehaidiwa may mosi inayokuja mkuu wa nchi atakuja na viwango vipwa sasa muda haujafika lawama za nini.
 
Kukopa huku una madini yamejaa tele nchi kavu na baharini ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Tuwaite wajerumani wazitoe mali zao ramani wanazo walipozificha enzi ya vita vya pili vya dunia walipochezea kichapo cha Muingereza kwa makubaliano ya kugawana nusu kwa nusu.
Mahenge kuna madini ya spinel jiwe tani mbili lipo kilometer mbili chini ya ardhi hilo ni moja tu likitolewa Hakuna nchi au mtu mwenye uwezo wa kulinunua dunia nzima.
Labda livunjwe livunjwe hili moja tu linatosha kulipa deni lote la taifa plus kufanya maendeleo yote nchi nzima bila kutegemea kodi au kukopa nje.
Ikiwemo wanafunzi wote kusoma bure kuanzia vidudu hadi chuo kikuu nje ya nchi plus KILA mtz kumudu kumiliki nyumba bora ya kisasa.
Achilia tani za dhahabu zilizojaa KILA mkoa.
Shida ya tza sio pesa shida tangu UHURU atujapata watu wanaofikiri.
Nchi za norway sweden denmark China india malaysia indonesia tulizokuwa nazo uchumi sawa baada ya UHURU zilipata watu wanaofikiri leo zinatupa misaada.
Jiulize kwann mchina alijitolea kujenga reli ya Tazara baada ya Marekani kuigundua Siri nae akajenga bomba la mafuta TAZAMA to zambia mwambao wa reli ya Tazara ukilijua hili fumbo utanielewa.
Afrika ndilo bara tajiri kuliko yote duniani shida uongozi
 
Usingeingiza uzenji na ubara ungekuwa na swali lenye hoja nzuri tu ila kumbe mwenyewe hukutaka kuleta hoja masikini ulitaka umbea na mipasho

Acheni ubaguzi na ubinafsi
 
Kukopa huku una madini yamejaa tele nchi kavu na baharini ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Tuwaite wajerumani wazitoe mali zao ramani wanazo walipozificha enzi ya vita vya pili vya dunia walipochezea kichapo cha Muingereza kwa makubaliano ya kugawana nusu kwa nusu.
Mahenge kuna madini ya spinel jiwe tani mbili lipo kilometer mbili chini ya ardhi hilo ni moja tu likitolewa Hakuna nchi au mtu mwenye uwezo wa kulinunua dunia nzima.
Labda livunjwe livunjwe hili moja tu linatosha kulipa deni lote la taifa plus kufanya maendeleo yote nchi nzima bila kutegemea kodi au kukopa nje.
Ikiwemo wanafunzi wote kusoma bure kuanzia vidudu hadi chuo kikuu nje ya nchi plus KILA mtz kumudu kumiliki nyumba bora ya kisasa.
Achilia tani za dhahabu zilizojaa KILA mkoa.
Shida ya tza sio pesa shida tangu UHURU atujapata watu wanaofikiri.
Nchi za norway sweden denmark China india malaysia indonesia tulizokuwa nazo uchumi sawa baada ya UHURU zilipata watu wanaofikiri leo zinatupa misaada.
Afrika ndilo bara tajiri kuliko yote duniani shida uongozi
Stori za kwenye kahawa bana!
 
Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.

Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Nchi ya ma V8 yaliyonunuliwa kwa pombe,sigara,tozo nk.
CCM ilishaishiwa hoja na walichosalia kwao ni mabavu tu.
 
Ccm ni ile ile. Awe mama, awe Magufuli awe nani ilimradi anatoka Ccm ni business as usual. Watanzania mtapata tabu sana
Rejea makubaliano ya mapangoni bagamoyo Kati ya wazee na shetani walipoomba msaada wa kuwaondoa wazungu kwa shetani,moja ya masharti waliyopewa na shetani Ili kuwaondoa wazungu ni kwamba mkubali wazungu wataondoka lakini mtakuwa masikini wazee wakakubali wakatia saini.Bila kuyavunja maagano yale ni ngumu kutoboa Ili tuendelee ni lzm amaleki atolewe rejea speech ya mzee wa ufufuo na mzee wa Efatha wanajua amaleki ni nani na yupo wapi na kwann kashika mafanikio yetu.
Amaleki bila macho ya kiroho haonekani.
Wale wazee wa mapangoni bagamoyo hovyo Sana si bora wangeacha tu wakoloni Ili tuendelee.
 
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.

Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.

Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Muongozwe kwa kazi gani?
 
Usingeingiza uzenji na ubara ungekuwa na swali lenye hoja nzuri tu ila kumbe mwenyewe hukutaka kuleta hoja masikini ulitaka umbea na mipasho

Acheni ubaguzi na ubinafsi
Chizi mara nyingi uwa ajioni kama anamapungufu lakini sisi ndiyo tunaelewa yule mbili katika tatu hakuna. Vivyo hivyo wewe uliye kwenye mfumo wa ovyo kama ccm huto ona kama mnakosea
 
Back
Top Bottom