Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
πππKama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Kwani hiyo nchi wakati inafungwa yeye alikuwa ulaya kusoma au ilifungwa na cdm?[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado 'anafungua nchi' mkuu.
Tumpe muda..
Mi-5 tena!
Nafikiri Ndugaye atakuwa na jibu kamili la haya maswali tata.Hukija huku tunaambia uncle wanapisha kiswahili kwenye vyombo vya habari n.k au ndiyo tuamini nchi imewashinda?
Si kweli kwamba hakuna ajira mpya. Walau litendee haki jina lako.Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Si bure kunakitu tunafichwa kwenye Pato la Taifa,haiwezekani tuwe na rasilimali zote alafu tuwe tunaendesha nchi Kwa kutegemea bia,sigara na mikopo mikubwa plus tozo za miamala alafu mambo yapo vile vile hakuna maboresho ya mishahara wala ajira mpya...!Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.
Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Tafuta shughuli wacha majungu!Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Lete takwimu zako sahihi Kisha tutofautishe na Awamu tangulizi kama upo sahihi na hicho unacho kiunga mkono.Si kweli kwamba hakuna ajira mpya. Walau litendee haki jina lako.
Kuwa serious katika mambo ya msingi ikibidiTafuta shughuli wacha majungu!
Nasikia anajihusisha na mambo ya kwao huko Zanzibar. Kama kukutana na ACT Zanzibar lakini hakukutana na CHADEMA bara ili kuondoa tofauti zao.πππ
Bado 'anafungua nchi' mkuu.
Tumpe muda..
Mi-5 tena!
Hilo siyo la kushangaa maana ndani ya ccm kila kitu kinawezekanaSi bure kunakitu tunafichwa kwenye Pato la Taifa,haiwezekani tuwe na rasilimali zote alafu tuwe tunaendesha nchi Kwa kutegemea bia,sigara na mikopo mikubwa plus tozo za miamala alafu mambo yapo vile vile hakuna maboresho ya mishahara wala ajira mpya.....
Wewe mwenywe ndiyo wakala wa wafanya majungu na fitinaTafuta shughuli wacha majungu!
Kwani kukutana na ACT zazibar ni kosa? Kavunja katiba, watu wa bara tuna roho mbaya ubinafsi na visasi, tunachukia chadema unadhani sio ndg zetu, unadhani Mbowe angekua anatokea Zazibar angefungwa mda wote huo bila kosa linalo julikana?Nasikia anajihusisha na mambo ya kwao huko Zanzibar. Kama kukutana na ACT Zanzibar lakini hakukutana na CHADEMA bara ili kuondoa tofauti zao.
Khojaaaaniiii wehyeeeeeNasikia anajihusisha na mambo ya kwao huko Zanzibar. Kama kukutana na ACT Zanzibar lakini hakukutana na CHADEMA bara ili kuondoa tofauti zao.
Kwa hili nakuunga mkono. Kukaa ndani kwa Mbowe huku hata Pc Msemwa akijua ametoa ushahidi wa uongo kwa maelekezo ya viongozi wake ambao ni Wabara ni ubinafsi na ukaburu wa Wabara.Kwani kukutana na ACT zazibar ni kosa? Kavunja katiba, watu wa bara tuna roho mbaya ubinafsi na visasi, tunachukia chadema unadhani sio ndg zetu, unadhani Mbowe angekua anatokea Zazibar angefungwa mda wote huo bila kosa linalo julikana?