Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
- Thread starter
-
- #21
Hakuvunja katiba yeyote,lakini tunahoji Dadema imenifanya nini Mama? Kwanini anaigopa kuliko msaafu?Kwani kukutana na ACT zazibar ni kosa? Kavunja katiba, watu wa bara tuna roho mbaya ubinafsi na visasi, tunachukia chadema unadhani sio ndg zetu, unadhani Mbowe angekua anatokea Zazibar angefungwa mda wote huo bila kosa linalo julikana?
Msingi hakuna wala mtaro tafuta hata cha kubeba zege hutopoteza muda!Kuwa serious katika mambo ya msingi ikibidi
Ni majizi ya CCM yananunua mavi 8Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Ringi na mwenjiwe chipoko wanachungumuchaa!Khojaaaaniiii wehyeeeee
Nipo hapa Mchamba wima napata zangu tende na gahawaRingi na mwenjiwe chipoko wanachungumuchaa!
Watu kama nyinyi ndiyo ndugu zake na siro ambao mpo mpo kama hampo. Kutete maovu ndiyo kula yenu ilipo.Msingi hakuna wala mtaro tafuta hata cha kubeba zege hutopoteza muda!
Mimi simo,ngoja mwiguru aje. Nasikia yumo humu.Tozo ni Njia pekee ya kuwalipa wale imbonerakure wa Burundi!!ambao walidai chao baada ya kuwa na wasiwasi kutolipwa !hasa jpm alipoenda kwenye ule usingizi wa milele!
Stori za kwenye kahawa bana!Kukopa huku una madini yamejaa tele nchi kavu na baharini ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Tuwaite wajerumani wazitoe mali zao ramani wanazo walipozificha enzi ya vita vya pili vya dunia walipochezea kichapo cha Muingereza kwa makubaliano ya kugawana nusu kwa nusu.
Mahenge kuna madini ya spinel jiwe tani mbili lipo kilometer mbili chini ya ardhi hilo ni moja tu likitolewa Hakuna nchi au mtu mwenye uwezo wa kulinunua dunia nzima.
Labda livunjwe livunjwe hili moja tu linatosha kulipa deni lote la taifa plus kufanya maendeleo yote nchi nzima bila kutegemea kodi au kukopa nje.
Ikiwemo wanafunzi wote kusoma bure kuanzia vidudu hadi chuo kikuu nje ya nchi plus KILA mtz kumudu kumiliki nyumba bora ya kisasa.
Achilia tani za dhahabu zilizojaa KILA mkoa.
Shida ya tza sio pesa shida tangu UHURU atujapata watu wanaofikiri.
Nchi za norway sweden denmark China india malaysia indonesia tulizokuwa nazo uchumi sawa baada ya UHURU zilipata watu wanaofikiri leo zinatupa misaada.
Afrika ndilo bara tajiri kuliko yote duniani shida uongozi
Awali ilifungwa?Unaposema mitano tena unamaanisha?πππ
Bado 'anafungua nchi' mkuu.
Tumpe muda..
Mi-5 tena!
Sasa mbona wewe haurudi kwenu Mweda, Msumbiji kama huku mambo si mambo?!Alafu wanajiita awamu ya 6
Nchi ya ma V8 yaliyonunuliwa kwa pombe,sigara,tozo nk.Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.
Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Rejea makubaliano ya mapangoni bagamoyo Kati ya wazee na shetani walipoomba msaada wa kuwaondoa wazungu kwa shetani,moja ya masharti waliyopewa na shetani Ili kuwaondoa wazungu ni kwamba mkubali wazungu wataondoka lakini mtakuwa masikini wazee wakakubali wakatia saini.Bila kuyavunja maagano yale ni ngumu kutoboa Ili tuendelee ni lzm amaleki atolewe rejea speech ya mzee wa ufufuo na mzee wa Efatha wanajua amaleki ni nani na yupo wapi na kwann kashika mafanikio yetu.Ccm ni ile ile. Awe mama, awe Magufuli awe nani ilimradi anatoka Ccm ni business as usual. Watanzania mtapata tabu sana
Muongozwe kwa kazi gani?Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya,tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je,kunakipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya Wanzanzibari?
Si uende ukatembee uone kukaa tandika pekee utajuaje hazina zilizojaa tulizopewa na Mwenyezi Mungu.Stori za kwenye kahawa bana!
Chizi mara nyingi uwa ajioni kama anamapungufu lakini sisi ndiyo tunaelewa yule mbili katika tatu hakuna. Vivyo hivyo wewe uliye kwenye mfumo wa ovyo kama ccm huto ona kama mnakoseaUsingeingiza uzenji na ubara ungekuwa na swali lenye hoja nzuri tu ila kumbe mwenyewe hukutaka kuleta hoja masikini ulitaka umbea na mipasho
Acheni ubaguzi na ubinafsi