Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Kukopa ni uvivu wa kufikiri, kukopa ni umasikini, kiongozi anaefikiri akopi bali uchochea uzalishaji.
Unamiliki zizi la ng'ombe unamkopa muuza genge akupe pesa
 
Kwanza HAKUNA AWAMU YA 6.

Naomba ieleweke ivyo.
 
Usingeingiza uzenji na ubara ungekuwa na swali lenye hoja nzuri tu ila kumbe mwenyewe hukutaka kuleta hoja masikini ulitaka umbea na mipasho

Acheni ubaguzi na ubinafsi
Chizi mara nyingi uwa ajioni kama anamapungufu lakini sisi ndiyo tunaelewa yule mbili katika tatu hakuna. Vivyo hivyo wewe uliye kwenye mfumo wa ovyo kama ccm huto ona kama mnakosea. Mfano mzuri ndugu polepole yeye hakuna kama akiwa ndani ila Sasa anajifanya Kuwakosoa wenzake
 
Si uende ukatembee uone kukaa tandika pekee utajuaje hazina zilizojaa tulizopewa na Mwenyezi Mungu.
Mimi sikatai kwamba nchi ina rasilimali kibao bali hiyo ya kutuambia jiwe lina tani ngapi sijui likiuzwa shida baibai kwa kila mtanza na nia na mahesabu kedekede uliyoyaorodhesha hapo mmh hizo ni STORI ZA KWENYE KAHAWA
 
Mimi sikatai kwamba nchi ina rasilimali kibao bali hiyo ya kutuambia jiwe lina tani ngapi sijui likiuzwa shida baibai kwa kila mtanza na nia na mahesabu kedekede uliyoyaorodhesha hapo mmh hizo ni STORI ZA KWENYE KAHAWA
Unajua bei ya gram moja ya madini ya spinel, google tu hata bei ya leo ucheck ndugu,tani mbili ni gram ngapi zinaingia.Kama mtu alipata kilo 32 na akauza bilioni 26 ambayo bado ni ndogo sana kulingana na bei halisi sokoni.
Hizo tani 2 je ngapi unapata.
 
Fanya kazi kama mshahara hautoshi acha tafuta kazi nyingine simple acha kuja kulialia humu
 
Watu hatuna shukrani,kwa mwaka huu tu serikali imetoa ajira zaidi ya elfu kumi,polisi,magereza,takukuru,uhamiaji na zima Moto.

Tuache kulalama
 
ajila gani unataka radio karibu zote nchini zinachezesha kamali makampuni ya kubeti pia yapo kila mtaa na kamali za wachina mtaani zimejaa bodaboda zinakopeshwa kila mtaa jiajili sio lazima uajiliwe
 
Mawazo kama yako ni sumu mbaya mno na inaweza kulifisha Taifa letu Teule la Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar.Pamoja na juhudi zote la kuelimishana na Watawala wetu wa PhD's na Prof's wa kumwaga bado tunaamini katika wazee wa bwagamoyo?Aibu?
Tunapodai Katiba tunamaanisha.CCM chini ya Katiba tuliyotengenezewa mwaka 1977 haiwezi kuiacha Tanzania salama.Ni suala la Wanzania kuamua kusuka ama kunyoa.
 
Nani kasema hakuna ajira mpya?,nani kasema hakuna nyongeza ya mishahara? we ni mtanzania kweli?
 
Katiba ya mwaka 77 ni muendeleze wa Yale makubaliano ya wazee.
Hirizi ya ccm ipo kwenye katiba ccm haitaki katiba mpya, means itakufa.
Mwenge ndo ubani wenyewe ukicheza na mwenge unaondoka aliyeusitisha sababu ya corona yakamkuta.
So ni lazima viongozi wa dini waungane kumuondoa amaleki ,Ili tuwe na akili ya maendeleo.
Amaleki anakula akili za watz jiulize why wenyeji wa lindi, bagamoyo uwezo wao wa kufikiri upo chini Kazi ya amaleki hiyo.
 
Aaah tuna taab basi? Ngozi ngumu, mioyo migumu ni wagumu tumekomaa!
Tumejisusa
 
Nani kasema hakuna ajira mpya?,nani kasema hakuna nyongeza ya mishahara? we ni mtanzania kweli?
Mara nyingi sipendi kujibishana na wapotosha kama wewe,viongozi wetu wenyewe wanatofautia kwenye kutoa takwimu za wanao ajiliwa mara Rais anasema hatoajili hukija huku waziri mkuu anasema zimetoka ajira laki moja ( mfano) alafu waziri wa fedha anakwambia ajira zimetoka mia moja (Kwa mfano), alafu ukija mtaani Kuna wimbi kubwa walikosa ajira Baada ya kumaliza masomo. Je,unataka tumuamini nani?

Ukisema tujiajiri,je mitaala ya elimu ya nchi yetu imeweka elimu ya kujiajili? Je,vipi kuhusu mitaji,taasisi zenu zinazohusika na mikopo inamtambuaje kijana ambaye amemaliza shule na anahitaji mtaji wa kujiajili?

Msipende kuongea vitu ambavyo hamvitambui Kwa uwalisiwake upoje Kwa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…