Hakuna ofa Yoyote kwa feisal kwa club za ndani

Hakuna ofa Yoyote kwa feisal kwa club za ndani

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc.

Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa 1B kwa klabu ya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Yanga atapata 25% ya mauzo ya mchezaji huyo iwapo atauzwa nje ya nchi na iwapo atauzwa au kwenda kwa mkopo ndani ya Tanzania, Azam fc wata lazimika kuilipa Yanga 1B.

IMG_2398.jpeg
 
Muda haurudi nyuma, tutakuja kumsahau kama tulivyowasahau kina Boban, chuji na wengineo. Mpira una muda mfupi sana wa kucheza, ndio maana Kwa nchi zilizoendelea umri ni kitu cha msingi sana. Exposure ni kitu muhimu sana kwenye football.
 
MKE UMUACHE AFU UKADAI POSA ALIKOOLEWA TENA?????😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
MKE UMUACHE AFU UKADAI POSA ALIKOOLEWA TENA?????😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Hivi, aliuzwa, au alivunja mkataba?
 
MKE UMUACHE AFU UKADAI POSA ALIKOOLEWA TENA?????😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Wachezaji karibu wote ulaya wakiuzwa kuna asilimia hua inaenda mpaka kwenye club iliyomkuza, watu washakua wajanja lazima uweke mkakati, unaweza uza kitu elfu 5 baada ya miaka mitano kikawa na dhamani ya B, lazima uweke mikataba ya kujilinda
 
Wanaweza kumuuza pesa ndogo nje na wakaweka kipengele alikuwa Tanzania wapate kiasi fulani hapo yanga atakuwa katolewa kwenye mfumo maana akishapata kamisheni ya timu ya nje mkataba unakuwa imekufa.
 
Back
Top Bottom