Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kylie Jenner amejitetea dhidi ya madai yanayopinga kuitwa “bilionea mdogo zaidi aliyejijenga mwenyewe”, akisisitiza kuwa hakuna hata dola moja ya fedha alizopata iliyorithiwa kutoka kwa wazazi wake au familia ya Kardashian.
Akizungumza katika mahojiano mapya, Kylie amesema mafanikio yake kupitia kampuni yake ya vipodozi, Kylie Cosmetics, yalitokana na fedha zake mwenyewe, ingawa anakubali kuwa umaarufu na fursa alizokuwa nazo zilimsaidia kufikia hatua hiyo.
Kylie pia amesema aliacha kutegemea fedha za wazazi wake akiwa na umri wa miaka 15 na baadaye akatumia fedha zake mwenyewe kuanzisha kampuni hiyo