Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

Na watu wanajipanga hujui watakuja kwa njia gani. Lissu mwenyewe kasema sasa anajiandaa kwa ajili ya pingamizi. Yeye ambaye anajielewa. Haya mambo yanataka uelewe sayansi ya siasa.
Kujihakiki tu kwa msimamizi wa uchaguzi huko alikopita kumemshinda atswezaje jujipanga kwa mengine au ni kimuhemuhe tu
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Kwa akili zako kabisa alizo kuzaa nazo Mama yako wamepita bila kupigwa!?
Wajinga sana nyinyi
 
I think that was a tricky bro ....ile walichokifanya chadema ni bonge moja la akili kwa sababu kadhaa .
1.kuwafanya wawe kwenye midomo ya watu na media for a long time before selection kuliko vyama vyingine..hili wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
2.kuchelewesha zoezi la wao kutangazwa ili kuepusha wale wenye mapingamizi wasije kuwa na mda wa kufanya hivyo.
3. Hili linaweza kuwa halikuwa kwenye sababu za kwanini hawwakuhakiki huko majimboni nalo ni kuwakeep busy watu wa nec na chadema pekee maana chadema walikuwa na uhakika na kazi yao
4.kama wangepitishwa mchana kama ilivyokuwa kwa chauma au act etal isingekuwa breaking news kama ambavyo umetokea ....hapa haiihitaji ushahidi kulitambua......yote Tisa, Kumi ni hili la kutuweka roho juu Takriban masaa sita aisee that was tough time amongst the tough time ever...Hali ya jana sikumbuki ni lini katika maisha yangu nimewahi kuwa nayo ...nadhani asingepita ningeumia sana lakini yawezekana mimi ni strong ila kunawatu wengezimia kama siyo kufa....

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Utopolo mtupu fikiria kabla ya kuandika eti..bonge la tricky amna tricky hapo na amna anayeizungumiza cdm kama unavyofikiria
 
Kwanini wapite bila kupingwa, ccm wanaogopa uchaguzi? Hili halikubaliki, tunawanyima wananchi haki yao
Waulize sasa mtu anakubali anachukua chake unakuja kutoka povu huku yanatuhusu sisi
 
Ni kujipa moyo tu kwa CDM. hakuna mambo ya kiroho uliyoyaelezea. Siasa ni sayansi na inataka mipango. Sasa wewe danganya watu na habari za kiroho ni dalili njema. CDM wajipange kwa kila hatua. Ambao hawakupita mikoani walijipanga pia kwa sababu zao kadhaa lakini pia hakukua na haja.

Tundu Lissu ange save the last dance for wakati wa kuomba kura. Watu wangejawa na shauku kubwa zaidi ya kumwona wakati wa kampeni.but pia ange save gharama zisizo na sababu.

Tufikie hatua tuwe tunaandika kisayansi na si kihisia na kujidai tunafahamu mambo ya rohoni.hayo ni siri kubwa anayoijua Mungu tu.
Kwaiyo CCM wametumia sayansi nani aliye waloga nyie watumwa wa fikra!
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
mbuzi wew
 
Zile saa nane...ama yale masaa manane jana ya tar 25. August. 2020 ya kumsubirisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kuanzia saa sita mchana mpaka jioni ya saa moja na dk 40 yalikuwa ni faida tupu kwakwe.

Trust me wale wagombea wengine waliopewa kipaumbele na kuharibu ratiba wakaingia fasta wakapokelewa na kupitishwa haraka wamefanya makosa mengi ya kisheria..na hili litawagharimu pakubwa.

Mgombea wa CHADEMA ndie pekee kazunguka mikoa 16 katika uhalisia wake kutafuta wadhamini...hii imempa credit kubwa sana..ni awali njema..awali iliyokosa mawaa...wananchi katika uhalisia wao na kwa furaha bila shuruti wakamdhamini kwa mikono yao na vidole vyao wenyewe..hii kiroho ni hali chanya yenye uhai.

Wagombea wengine wamepata wadhamini kupitia daftari la kupigia kura(pengine kupitia tume ya uchaguzi) yamenyofolewa majina wakajaziwa...akidi ikatimia....tume ikapitisha..kwa mtazamo wa haraka unaweza kudhani hakuna shida...! Lakini kiroho kuna shida kubwa sana.

Udhamini wa hawa wagombea wengine ni mfu hauna uhai kwakuwa mgombea hajakutana ana kwa ana na hao anaotaka wamdhamini. Udhamini wa hawa hauna msingi chanya kwakuwa baadhi ya hayo majina kuna marehemu ndani yake. kuna wengine hawampendi tena mgombea..kuna wengine wameshahama vyama nknk..Nina hakika hata wengine number zao za simu hazipatikani tena ama wao wenyewe hawajulikana walipo. Kwahiyo hapa tunaona wazi kabisa hakuna muunganiko wa kiroho na hata kimwili kati ya mdhamini na mdhaminiwa

Ukiachana na hayo upangaji wa mipango na ratiba ya kuomba udhamini kwa CHADEMA vilikuwa vizuri na vya viwango vinavyotakikana na tume ya uchaguzi na kwa sheria za uchaguzi..namna watu walivyojikusanya na kukusanyika..vibe chanya waliyokuwa nayo..zoezi zima la udhamini lilivyoenda nknk..ukiachana na delayments zisizozuilika zoezi zima la kutafuta wadhamini lilikuwa perfect..Hili limekishape chama na kukiongezea credit kubwa!

Uwezo na matumizi ya fedha...kwenye hili tena CHADEMA wamepiga bao lingine la haja..Jamani inahitajika mipango kabambe na fungu la kutosha kuweza kuzunguka mikoa 16 na mfasara wa watu wasiopungua 20 na wote hao wapate chakula malazi nk na magari yapate mafuta nk

Udhamini wa kimyakimya ni udhamini wa kificho na uliojaa makandokando mengi hata kijamii pia ukiachana na kisheria..hauleti tumaini na hisia za umoja na kuwa wamoja kati ya mdhamini na mdhaminiwa.

Tuna masaa chini ya 15 kwa ajili ya kuwekeana mapingamizi ni masaa machache lakini yaliyobeba simulizi nyingi...wewe wakati uko kitandani mwako umelala kuna watu hawajalala wala kupumzika wako busy kuhakikisha wanaruka na kukwepa vizingiti na hila zote za pingamizi.
Tuombe yule bwana afe
 
Acha kufikiria kwa kutumia mapigo ya moyo
Mnajitia hofu isiokuwepo,hakatwi mtu hapa hata likitoka pingamizi,tunata mshindwe mapema tena bila visingizio
What a Pathetic reply...pole sana
 
Ni kujipa moyo tu kwa CDM. hakuna mambo ya kiroho uliyoyaelezea. Siasa ni sayansi na inataka mipango. Sasa wewe danganya watu na habari za kiroho ni dalili njema. CDM wajipange kwa kila hatua. Ambao hawakupita mikoani walijipanga pia kwa sababu zao kadhaa lakini pia hakukua na haja.

Tundu Lissu ange save the last dance for wakati wa kuomba kura. Watu wangejawa na shauku kubwa zaidi ya kumwona wakati wa kampeni.but pia ange save gharama zisizo na sababu.

Tufikie hatua tuwe tunaandika kisayansi na si kihisia na kujidai tunafahamu mambo ya rohoni.hayo ni siri kubwa anayoijua Mungu tu.
Ni ngumu kuelewa mtazamo wangu kwakuwa sikuandika kisiasa bali kiroho
 
Na watu wanajipanga hujui watakuja kwa njia gani. Lissu mwenyewe kasema sasa anajiandaa kwa ajili ya pingamizi. Yeye ambaye anajielewa. Haya mambo yanataka uelewe sayansi ya siasa.
Soma kwa makini nilichoandika .soma para ya mwisho
 
Na ningekuwa Lissu ningeweka pingamizi kwa wagombea wote,

Mshana Jr hela ya kampeni humu jf tunatosha kuchangia, waseme tu halafu waone. Tena hata yule dada wa kwa trump hatumtaki achangishe haeleweki.

Unasema moshwari leo kuko kimya, duuu, nshasema nikifa nizikwe on the sport sitaki uje kunibaka nikiwa maiti looooh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Ni kama vile uko kwa shemeji halafu unajifariji na kuwatukana wengine lakini hujui siku dadako akiachana na mumewe utakuwa wapi!

Hao wasimamizi wa uchaguzi walioleta figisu na mbinu zenu za kunyang'anya fomu za wapinzani zina mwisho
 
Kama mtu anaweza kuangushwa na konyagi alafu akatangazia dunia ameangushwa na wasiojulikana bila shaka hawezi kushindwa kutunga orodha feki ya watu kupita bila kupingwa.
 
Utopolo mtupu fikiria kabla ya kuandika eti..bonge la tricky amna tricky hapo na amna anayeizungumiza cdm kama unavyofikiria
Naona uko busy kujibu hoja nzito lakini badala nawe kujibu kwa hoja unajibu vioja
 
Back
Top Bottom