Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

K

Kabisa wewe Ni strong sana,Jana nimeharisha sijapata ona Sasa angekatwa sijui ningekua katika Hali gani
 
GREAT POST, UBARIKIWE.
 
*ANAANDIKA MHE.TUNDU LISSU*

ACTION ALERT! Nimetaarifiwa kwamba watu wasiojulikana wakiwa kwenye magari matatu yenye usajili T370 DRD Toyota Noah; T721 CYT Toyota Landcruiser and T132 CUP Toyota Landcruiser wananisubiri kunikamata au kuniteka nyara nje ya ofisi za Tume ya Uchaguzi mara nitakapotoka nje ya jengo la NEC.

Watu hao wanasemekana kuwa mapolisi au usalama wa taifa na wana silaha. Lengo lao ni kuniondoa Dodoma ili nisiwepo kujibu mapingamizi ya kijinga yaliyopangwa ili kuniondoa kwenye Uchaguzi wa Rais.

Simameni imara. Tutashinda mapambano haya. Hawawezi kuzuia jambo ambalo muda wake umewadia. Tafadhali sambaza taarifa hii kila mahali. #SasaBasi #NiYeye2020 #TunduLissu2020.
 
Mwaka huu hawajakimbiza mwenge sasa tutawakimbiza wao....kwa mbaaaali nanza kuona Lissu akikabidhiwa nchi kwa mbinde Sana....baada ya figisu watesi wanasarenda.
 
News Alert: - Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020
 
Ndugu yangu, uwe na aibu. Tusishabikie haya mambo kama timu za mpira. Hauoni kabisa udhalimu unaofanyika? Wakara wamelazimika kuchukuwa hatua mikononi mwao.
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
 
LAKINI: Mshana jr was it deliberate kutohakikiwa mikoani au walikuwa hawajui? Kama walikuwa hawajui, that is a grave mistake to recorn!
CDM walijua kwani sio mara ya kwanza kusimamisha mgombea. Unafikiri wangepona kama walikwenda kinyume. Hiyo ingekuwa zawadi kubwa kwa JPM na wange waengua mapema kabisa bila huruma. (I stand to be corrected).
Kusema kweli haya mambo mengine ni ukiritimba tu (wa CCM na serikali zao), after all wanaochagua ni wananchi kwa kura zao.
 
Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Aah! Hivi kumbe game ndo imekaa hivo? Ngoja beberu Robert Amsterdam amwage wino wake kwenda kwa john utasikia.
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Mzee nenda kaweke pingamizi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
We we ndiye hopeless kwa kuwa umejisahaulisha kuwa kwa ubunge kutangazwa tu na msimamizi haitoshi, kuna kupelekana mahakamani, kuna rafu za wazi lazima mambo yatapinduka tu katika baadhi ya maeneo. Wenzenu wametulia tu wanafanya gathering ya ushahidi. Uzuri ni kwamba wakati kesi zinasikilizwa wao ndio watakuwa wamekabidhiwa dola na wananchi!
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Unaweza kuyataja?
 
Huu ni mpngo mkubwa sana kukwepa gharama za uchaguzi ili pasiwe na çhaguzi sehemu nyingi ndiyo maana hàpahitajiki fedha nyingi kuendesha uchaguzi

Lakini katika katiba ya Tanzania ibara ya 66 imetaja makundi ya wabunge sijaliona hilo kundi la wabunge wanaopitishwa bila kupingwa katika katiba inatambua a) wabunge wa kuchaguliwa b) wabunge wa kuteuliwa na Rais na c) wabunge wanawake wanaochaguliwa kutoka katika vyama vyenye wabunge. Sasa hawa wanaopitishwa na tume kabla ya uchaguzi wao kundi lao ni lipi na bungeni watakuwa wanamuwakilisha nani hiyo tume iliyowapitisha au na kwa kutumia katiba ipi.maana katiba iliyopo haitambui hili kundi lao.
 
Bado shughuli ni changa mno, amini nakwambia' mtoto Ndio kaanza kushikishwa ujiti asome alifu
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Wewe hutumii kichwa. Unatumia kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…