Hakuna rafiki wa kweli katika dunia hii, wengi wako kimaslai

Hakuna rafiki wa kweli katika dunia hii, wengi wako kimaslai

rafiki wa kweli in yupi aliyekuzuiya kudondoka ama anaye kuokota bahada ya kudondika in fid q voice song sihitaji marafiki
'aliyekuzuiya kudondoka ama anaye kuokota baada ya kudondoka' jibu sahihi ni lipi mkuu?
 
mkuu rafiki wa kweli ni yule anaye kufaha wakati wa dhiki
Kweli mkuu,wakati wa dhiki wengi watakukimbia....mfano labda umelazwa hospitali,wiki ya kwanza watakuja wafanyakazi na marafiki wenzako kukutembelea,wiki ya pili marafiki zako,wiki ya tatu labda familia yako tu,na itategemea misingi uliyowawekea.
 
Back
Top Bottom