Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

nilikuwa nachungulia tu coz muda mwingi nilikuwa kwenye pain....
Mimi hata sikuchungulia sababu ningechungulia ningejua haupo na ningeuliza kulikoni..., lakini pole sana kama kuna uwezekano wa kutoa pole ifanye kazi in reverse for the future use...🙂

Seriously though pole sana, lakini nadhani sometimes tuna-underestimate huruma na wema wa binadamu sababu unaweza ukapata shida hata mtu asiyekujua akakupa msaada mpaka ukashangaa yaani akajinyima yeye ili wewe ufanikiwe...

Nadhani hapa marafiki na ndugu sio kwamba hawakupendi au they don't care lakini ni kwamba wana-take things for granted kwamba she/he is okay and strong na atakuwa poa tu (na sio kwamba wanasherekea shida zako, ingawa wengine sababu ya wivu wa kibinadamu wanaweza wakafurahia)

Lakini when push comes to shove na your are really down there will always be someone to pick you up...(at least even in a casket) ingawa itakuwa too late by then 🙂

Mkubwa usidhani nimekurupuka kuandika hii post. I have been too good to friends, relatives etc but i get nothing in return. Sijui una umri gani na unafanya nini but understand that people have had their experience
what am doing and my age is less concerning with the topic,
in actual way there is no body who is against the reality that there is no real friend, lakini pia hata sisi tusije tukajiona tuko poa, kuna wengine ambao wanatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia wengine,
hope that you have understood my idea
punguza jazba bi mkubwa...............

hahaha kila nikiona umepost naanza kucheka kwanza

hehehe festiledi bana!
hilo neno "urafiki" linafikiriwa kutolewa kabisa kwenye dikshineri na wanalugha, wametoa sababu ya msingi kabisa, wanasema limepoteza maana. Gaga atasibitisha hii

yah ahsante sana na ni kweli kabisa wanaweza jua niko strong, but ukiwa unaumwa unakuwa unapenda sana watu wako wa karibu wawe around you, inakupahope ya maisha baada ya pale na strength to carry on with such a pain

naona uko kwenye kampeni ya kumnyang'anya vocha salanga. Husninyo bana!

Mie huwa nawashangaa sana watu ambao eti kwa sababu alikusaidia kufanikisha jambo fulani wanapokuja kuanza kutegemea nawewe uwasaidie. Hata kama kiuwezo hauko vizuri lakini utakuta wanakuja ili uwasaidie. Unapowaambia kuwa huna kitu wanaanza kulalama.
Tuwe na moyo wa kusaidia lakini tusiwe tunategemea kurudishiwa fadhila na huyo uliyemsaidia. Mie ninavoamini, ukinisaidia mimi, utaweza kurudishiwa na mtu mwingine yeyeto. Kama unanisaidia ukiwa na lengo la mimi kuja kukusaidia mbeleni, ni bora usinisaidie kamisa, and I mean it!

hahahaha! We na we. Staki urafiki na wewe. Niliumwa ukanywa uji wangu wa ulezi wote.

nyinyi wa JF ndio kabisa mabomu, yaani gaga aliumwa hata hamkunotice? nashukuru nilimwambia Ashadii amsikilize gaga mbona haonekani? na alifanya hivyo.

Pole sana gaga! kuna watu na vibutu

nyinyi wa JF ndio kabisa mabomu, yaani gaga aliumwa hata hamkunotice? nashukuru nilimwambia Ashadii amsikilize gaga mbona haonekani? na alifanya hivyo.

Pole sana gaga! kuna watu na vibutu

na wewe hadi utakufa hatujanote. Kloro ni kibutu.

closed

nyinyi wa JF ndio kabisa mabomu, yaani gaga aliumwa hata hamkunotice? nashukuru nilimwambia Ashadii amsikilize gaga mbona haonekani? na alifanya hivyo.

Pole sana gaga! kuna watu na vibutu
Na wewe kloro?? Unanisafis sio ee

Very true. Virtue is its own reward.

na wewe hadi utakufa hatujanote. Kloro ni kibutu.
mimi hobby yangu ni maadui sio marafiki! species yangu tuko wachache sana hata darwin hakuinotice.
mpaka sasa nimefanikiwa kujenga uadui na PAW.

Ni kweli kabisa unaweza kuwa na roho ya kusaidia sana , huruma ya kutembelea wagonjwa na mengine yafananayo na hayo, na ikija kwako hata mmoja asijitokeze kukusaidia hata kwa mawazo tu.......hii inakatisha tamaa japo haimaanishi mtu ndio ukasirike na uache kutenda mema, ila lazima utakuwa mnyonge na kujiuliza maswali yasiyo na majibu

mimi hobby yangu ni maadui sio marafiki! species yangu tuko wachache sana hata darwin hakuinotice.

mpaka sasa nimefanikiwa kujenga uadui na PAW.

naomba niwe adui yako. Tusijuane kuanzia leo.

Na wewe kloro?? Unanisafis sio ee
Unajua kuna mtu kaniambia mke wa mtu sumu! sasa nikaona bora nipitie ashadii kukuulizia, aliponiambia unaumwa nilipoteza nguvu za kiume siku mbili kwa unyonge niliopata, leo nimefurahi sana kukuona umelejea.
ubarikiwe sana (source: Miss Judith)

naomba niwe adui yako. Tusijuane kuanzia leo.
khaaaaa! nilitarajia utabembeleza kumbe umenipa laiv? ama kweli upendo umepungua.
halaf Lizzy mbona haonekani au ile posa yake ishakubaliwa?

mimi yalishanikuta nilipokuwa nahangaika sina kazi kuna ndugu yangu wa kuzaliwa alisema "nitajiju",,,,siwezi kusahau milele na milele

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…