VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Mimi hata sikuchungulia sababu ningechungulia ningejua haupo na ningeuliza kulikoni..., lakini pole sana kama kuna uwezekano wa kutoa pole ifanye kazi in reverse for the future use...🙂nilikuwa nachungulia tu coz muda mwingi nilikuwa kwenye pain....
Seriously though pole sana, lakini nadhani sometimes tuna-underestimate huruma na wema wa binadamu sababu unaweza ukapata shida hata mtu asiyekujua akakupa msaada mpaka ukashangaa yaani akajinyima yeye ili wewe ufanikiwe...
Nadhani hapa marafiki na ndugu sio kwamba hawakupendi au they don't care lakini ni kwamba wana-take things for granted kwamba she/he is okay and strong na atakuwa poa tu (na sio kwamba wanasherekea shida zako, ingawa wengine sababu ya wivu wa kibinadamu wanaweza wakafurahia)
Lakini when push comes to shove na your are really down there will always be someone to pick you up...(at least even in a casket) ingawa itakuwa too late by then 🙂