Hakuna raha anayoipata mwanaadamu kama akiwa ndani ya Swaum

Hakuna raha anayoipata mwanaadamu kama akiwa ndani ya Swaum

Suhendra

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
1,625
Reaction score
3,307
Habari zenu wapenzi

Tumo ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani waislam wote duniani napenda kuwatakia Ramadhani Kareem.

mfungo wa ramadhani

Ni moja wapo ya nguzo ya Dini.

Unapofika mwezi huu hakuna muislam anaekera bali kila mmoja anafurahi kutimiza nguzo hii

Wewe nani unae umia na kukereka siku zote haki haikai sawa na batwiili,
 
Wazungu kwa kuiga bana. Yani zile tochi za kwenye kofia kichwani kama za mgodini waliiga kutoka kwa waislam sijdah baada ya kusoma maandiko matakatifu zitakuwa zinamulika huko kuzimu.
🤔
 
ukipata fedha utayafanya mambo kwa utimilifu na kusaidia wahitaji na kuwapa watu chakula na msaada utaongeza thamani yako kwa mola wako. NB pesa uipate kwa uhalali.
Wajuwa mtu akiwa hana pesa adhani kila mtu yuko kama yeye,
Wewe ndio utafute pesa mkuu kutwa uko JF kazi wafanya saa ngapi.?
 
Habari zenu wapenzi

Tumo ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani waislam wote duniani napenda kuwatakia Ramadhani Kareem.

mfungo wa ramadhani

Ni moja wapo ya nguzo ya Dini.

Unapofika mwezi huu hakuna muislam anaekera bali kila mmoja anafurahi kutimiza nguzo hii

Wewe nani unae umia na kukereka siku zote haki haikai sawa na batwiili,
mbona ulipotea sana, au mishe mishe?
 
Wajuwa mtu akiwa hana pesa adhani kila mtu yuko kama yeye,
Wewe ndio utafute pesa mkuu kutwa uko JF kazi wafanya saa ngapi.?
mimi nina muda wa kuperuzi huku manake sipangiwi na mtu na nina masaa ya kuperuzi huku kisha nnaendea shughuli zangu acha mambo mengi tafuta hela acha visingizo.
 
Hela zipi
Nyie dawa yenu ni kuwanyoosha kama marekan anavyo wafanyie wenzake

Anawaambia tupo pamoja msiogope kumbe ana agenda yake
JamiiForums573833728.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mimi nina muda wa kuperuzi huku manake sipangiwi na mtu na nina masaa ya kuperuzi huku kisha nnaendea shughuli zangu acha mambo mengi tafuta hela acha visingizo.
Anae pangiwa nani au ndio kila mtu JF tajiri😂
 
Back
Top Bottom