ukipata fedha utayafanya mambo kwa utimilifu na kusaidia wahitaji na kuwapa watu chakula na msaada utaongeza thamani yako kwa mola wako. NB pesa uipate kwa uhalali.Hela zipi
Wajuwa mtu akiwa hana pesa adhani kila mtu yuko kama yeye,ukipata fedha utayafanya mambo kwa utimilifu na kusaidia wahitaji na kuwapa watu chakula na msaada utaongeza thamani yako kwa mola wako. NB pesa uipate kwa uhalali.
mbona ulipotea sana, au mishe mishe?Habari zenu wapenzi
Tumo ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani waislam wote duniani napenda kuwatakia Ramadhani Kareem.
mfungo wa ramadhani
Ni moja wapo ya nguzo ya Dini.
Unapofika mwezi huu hakuna muislam anaekera bali kila mmoja anafurahi kutimiza nguzo hii
Wewe nani unae umia na kukereka siku zote haki haikai sawa na batwiili,
tupo pamojaYeah, muda mchache mambo mengi.
mimi nina muda wa kuperuzi huku manake sipangiwi na mtu na nina masaa ya kuperuzi huku kisha nnaendea shughuli zangu acha mambo mengi tafuta hela acha visingizo.Wajuwa mtu akiwa hana pesa adhani kila mtu yuko kama yeye,
Wewe ndio utafute pesa mkuu kutwa uko JF kazi wafanya saa ngapi.?
Nyie dawa yenu ni kuwanyoosha kama marekan anavyo wafanyie wenzakeHela zipi