Hakuna raha kama kuwashuhudia Taifa Stars kung'olewa AFCON

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Hakuna raha kama kuwashuhudia Mazezeta ya Taifa stars yaking'olewa kibabe na timu ya Taifa ya Morocco. Maana Walikua wamejiandaa kumuimbia mapambio yule mtu fudenge alie mafichoni.

Tena kufurmushwa kwao kutaokoa mamilioni ya pesa ya umma yaliyokua mbioni kutokomea kwa kisingizio cha kununua magoli
 
Tofauti yao na wewe, wewe una ID fake wao hawana.

Naamini na wao wana moyo pia. Kama ulivyokosa ujasiri wa kujitokeza kukemea kama Mzee Mwandambo ndivyo na wao walivyokosa.
Tunafanana tu mkuu, yaani hii ku hechekea chooni haisaidii.

Na wengi tunaipenda mno Tz ila ndo hivyo kusema hatuwezi, mpaka wenye hizo guts waseme, sie ni kama hao Taifa stars hata kumfata refa wanaogopa kupewa kesi ya uhaini.
 
Watanzania wanafiki
Huku kwenye chaguzi wanaiba kura mchana kweupe.
Eti wanataka haki Kwa waamzi wa Afcon
Niliacha kuwa shabiki wa Israel baada ya kushindwa ku resolve hii contradiction ya kupinga uvamizi wa Urusi na udhalimu CCM huku namshabikia Netanyahu akifanya genocide, sipendindi kuwa na akili za KiYericko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…