Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Khaaa!?Kwa hiyo alimtumia tarishi wake kuleta taharuki?Makonda: Watanzania wananunua KILA goli ml 200, kumbe Hangaya
Khaaa!?Kwa hiyo alimtumia tarishi wake kuleta taharuki?Makonda: Watanzania wananunua KILA goli ml 200, kumbe Hangaya
Refa kama INEC😁Wangetolewa kihalali Sio Kwa ujinga ule.
Raise wa FIFA anaona uchafu wazi waziView attachment 3525349
Hahaha watu wanafiki, uovu ni uovu tu, watu wengi kusimama kwenye mstari hawaweziNiliacha kuwa shabiki wa Israel baada ya kushindwa ku resolve hii contradiction ya kupinga uvamizi wa Urusi na udhalimu CCM huku namshabikia Netanyahu akifanya genocide, sipendindi kuwa na akili za KiYericko.
Wandai ni Mkurya kutoka Kyabakari.Hahaha watu wanafiki, uovu ni uovu tu, watu wengi kusimama kwenye mstari hawawezi
Et wanaumia! Wanatakiwa kujua kuwa hayo maumivu wanayopata no mara 100 kwa wale wanaodhlumiwa haki zao ktk chaguzi,utekaji na uuaji.Watanzania wanafiki
Huku kwenye chaguzi wanaiba kura mchana kweupe.
Eti wanataka haki Kwa waamzi wa Afcon
Kuna unafiki lakini pia binadamu wengi wanaishi na contradictions nyingi na kukosa uwezo wa kufikiri logically na kwa haraka kuunganisha mambo tata ya maisha. Ndio maana unaweza kukuta mtu ni shabiki wa Jiwe, Bashite, Lissu na Kitima kwa wakati mmoja😁Hahaha watu wanafiki, uovu ni uovu tu, watu wengi kusimama kwenye mstari hawawezi