Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Sijaona sababu za msingi za kuuwa mtu kwasababu za kimadaraka, kwani sioni raha ya kuwa na madaraka kwa kupitia umwagaji damu tena sisi kwa sisi kila uchwao.
Niseme hakuna raha yoyote ya madaraka yanayotokana na wizi au uongo au umwagaji damu labda mtu awe chizi au mwehu ndio anaweza kuona raha.
Mimi binafsi ni heri nifungwe chuma kizito nitupwe baharini nife kuliko kuwa na madaraka ya wizi na uongo uongo kila unapoongea huku watanzania maskini wakilia na kumwaga machozi kwaajili yangu sitaweza hata kulala.