Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
393
Reaction score
615
Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
 
Raisi mzuri ni yule anayetanguliza maslahi ya wananchi wake.

Huhitaji kumuuza wananchi wenyewe wanamajibu tayari
 
Hii nayo ni thread?
Soma ya wenzako tu
 
Ile kambi imepigwa na kitu kizito hadi sasa hawataki kukubaliana na ukweli wa mambo.........hehe watu walishajiandaa kurudia zile enzi zao za unajua mimi ni nani ila muda unavyozidi kwenda chance ndo zinapungua
 
Unajua mi nani dah ile ilikuwa balaa kuheshimiana na unaweza ukaenda polisi ukamchukua akakufsnyia kazi
 
Back
Top Bottom