DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999.Ebu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yote
Mkuu sio mimi niliekosoa,ni chiembeHebu na wewe ana
Hebu na wewe anza kujiita jaji kama ni rahisi, labda jaji wa BSS
Wacha kutuongopea hapa. Hujui maana ya neno Jaji. Neno Jaji kwa Mkoa wa Mara linatumiwa na Wajita tu likimaanisha Babu. Warioba si Mjita yeye ni Mhikizuunajua bunda, wajita neno jaji maana yake ni mjomba, ukitaka kumwita mjomba unasema yego jaji warioba, sasa tutumie jina kamili yego jaji warioba
Unaweza kuta aliyeandika hapa ni Mkuu wa Mkoa fulani hivi.Vijana mliolelewa enzi za uchawa nidhamu ni shida sana kama vile kwenu hamna wazee ni mmoja wa mliopewa jukumu la kujibu hoja zake?
Umelenga. Huyo jamaa asipodhibitiwa nchi hii itazalisha mambumbu sana. Na huenda huu uzi ni wake.Mvizie Tena Umchape Makonde
Relax tu gentleman 🐒Pole Kwa mme wako
Upumbavu ni kipaji ulichozaliwa nacho.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Matako yakoKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Acha kuokoteza mitandaoni, leta barua ya kumteua ya J. K. Nyerere, A. H. Mwinyi, B. W. Mkapa, J. M. Kikwete, au JPM au Samia kutoka Magogoni.Wewe ni mjinga kweli...
Kwani Ili uwe Jaji ni lazima uwe uliteuliwa na Rais wa Tanzania na awe na kumbukumbu za hukumu za Mahakama za Tanzania...?
=====================================
HUYU NDIYE JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA MWENYE UMRI WA MIAKA 84 SASA :
Warioba was born in Bunda District of Mara Region in Tanzania. He graduated from the University of East Africa in Dar es Salaam, Tanzania in 1966. From 1966 to 1968, he served as state attorney in Dar es Salaam, and from 1968 to 1970, as solicitor for the City Council. In 1970, he graduated from The Hague Academy of International Law. From 1976 to 1983, he served as the attorney general of Tanzania. From 1983 until his election as prime minister, he served as minister of justice....
Following his tenure as prime minister, Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996, President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption, better known as the Warioba Commission....
Warioba was chosen to lead the Commonwealth Observer Group in the April 2007 Nigerian elections. He gave a positive assessment of the elections, deeming them to be progress while also saying that there were irregularities.....
Following President Jakaya Kikwete's announcement for a referendum for Tanzania's constitution in 2014, he appointed Warioba as the Chairperson of the Constitutional Review Commission (CRC). The CRC was tasked with reviewing and proposing amendments to Tanzania's constitution. In this capacity, Judge Warioba played a crucial role in facilitating stakeholder engagement and communication throughout the constitutional review process. He oversaw a series of public consultations and engagement initiatives to gather input and perspectives from various segments of Tanzanian society. However, it's important to note that the proposed new constitution faced some challenges and controversies in the subsequent stages, ultimately, the process did not lead to the adoption of the proposed constitution in its entirety....
In 2015, the Tanzanian government decided not to adopt the new constitution, and the constitutional review process effectively came to a halt. As a result, the 1977 constitution, with some amendments, continued to be in effect.....
Warioba was appointed in November 2016 by the President of Tanzania John Magufuli as the Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro, Tanzania....
Ndio maana alizabuliwa vibao na DAB 🤣🤣Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Je Hilo linabatilisha yale aliyeongea?Ndio mkuu