The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ona Hii Ng'ombeKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Alikuwa kwenye PUMBU za baba yake akiusubiri kuzaliwa kwa kupasuka condomAmeanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
sijakukatalia na maelezo yako yako sawa, tatizo ni kunitukana
Bora Dakta Kikwete Sina mashaka nayo sana, kuliko zilizofuatia! Na naona baada ya kupewa Dakta Kikwete wajinga wakaanza kuzitafuta mpaka kwa Amri za kisiasa. Ukiacha kina Babu Tale na Msukuma!wewe utakuw c kijana wa afu 2000 nadhan utakuw kijana wa afu 2005, ko hyo jina ya jaji warioba unadhan amepewa kam kama heshma mnayowapa viongoz wenu ya dakta kikwete au samia?
Jitahidi watu wasijue huna akili1. Sifa za Jaji wa Mahakama Kuu
Zimeainishwa katika Ibara ya 109(8) ya Katiba:
Awe mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili aliyesajiliwa Tanzania.
Awe amekuwa na uzoefu wa kazi ya kisheria kwa kipindi kisichopungua miaka 5 katika ofisi yoyote inayohusiana na sheria (mfano: uwakili, uwakilishi wa mashtaka, au kazi nyingine za kisheria).
2. Sifa za Jaji wa Mahakama ya Rufani
Zimeainishwa katika Ibara ya 118(3) ya Katiba:
Awe mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili aliyesajiliwa Tanzania.
Awe amekuwa na uzoefu wa kazi ya kisheria kwa kipindi kisichopungua miaka 5 kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu, lakini kwa kawaida anapaswa kuwa na kiwango cha juu cha umahiri wa kisheria.
3. Sifa za Jaji Mkuu wa Tanzania
Zimeainishwa katika Ibara ya 118(1) ya Katiba:
Mtu anayeteuliwa kuwa Jaji Mkuu anapaswa kuwa na uzoefu na umahiri wa hali ya juu katika nyanja za sheria. Hakuna ukomo maalum wa uzoefu wa miaka, lakini uteuzi huu huchukulia mtu aliyebobea zaidi katika taaluma ya sheria.
Maelezo ya Ziada:
Katiba inahitaji mtu anayeteuliwa kuwa Jaji awe mwenye uadilifu, uwezo wa kisheria, na asiye na rekodi mbaya ya tabia au mwenendo wa kitaaluma.
Pia uteuzi wa majaji huzingatia maoni ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, inayoshirikiana na Rais katika ku
thibitisha sifa za wateuliwa.
You are a wasted sperm
Akili za kichawa chawa hizi...Jibuni hoja na zaidi fanyieni KAZI maonyo ya Mzee Waryoba . Mtakumbuka baadae Sana mambo yakiwa yameharibikaKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mambo aliyaharibu enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa kutunga sheria za hovyo, na katiba ya 1977, labda kama anataka kutubu kabla hajafaAkili za kichawa chawa hizi...Jibuni hoja na zaidi fanyieni KAZI maonyo ya Mzee Waryoba . Mtakumbuka baadae Sana mambo yakiwa yameharibika
Vijana kama ninyi ni hasara kwa taifa.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Unaweza kuwa umeshajibiwa ila elewa kuwa Jaji Waryoba haitwi Jaji kwa kuwahi kuwa jaji wawa Mahakama Kuu ya Tanzania bali alikuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa inayosimamia sheria za baharini (The International Tribunal for the Law of the Sea); hakuteuliwa na rais wa Tanzania bali aliteuliwa na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Wikipedia nao wameweka rekodi hiyo hapaKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Una nakala ya hukumu wakati akiwa Mahakama ya Afrika Mashariki? E.A.C.A? au E. A? Haipo! Hajawahi kuwa Jaji huko, pitia hata H. C. D hayumo,Ngoja nikwambie jambo ndugu yangu chiembe ni kweli Jaji Warioba sio Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Lakini ni Jaji wa iliyokuwa Mahakama ya Juu ya Afrika Mashariki kama unaifahamu hii ndio ilikuwa Mahakama ya Rufaa kwa Afrika Mashariki. Hivyo yule sio Judge tu bali ni Justice
Pia amekuwa Jaji Ujerumani kwenye Baraza la kimataifa la mambo ya Bahari.
Ulichokiandika ni wazi hauna uelewa wa mambo haya Mkuu, wapo watu wamekuwa mawakili wakujitegemea wakaitwa kuwa majaji muda mfupi sana hasa wakati tunaianza safari ya uhuru na baadae wakarudi kuwa mawakakili binafsi na wengine walienda kusaidia nchi zingine kama majaji hasa nchi za jumuiya ya madola.
Ninachotaka kusema hapa, wadhifa wa ujaji unapatikana hata nje ya Tanzania na una nguvu na hadhi ile ile kimataifa. Sio maswala ya kubahatisha hayo.
ACHA KUMCHAFUA MZEE WARIONA, J.A
Maneno yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa umekuumiza sana? Kwa nini usijikite katika hoza za uchuguzi kuliko kushambulia credentials zake ambazo huwezi kuzifuta?Una nakala ya hukumu wakati akiwa Mahakama ya Afrika Mashariki? E.A.C.A? au E. A? Haipo! Hajawahi kuwa Jaji huko, pitia hata H. C. D hayumo,
Ujaji wake si wa kichawa. Alipewa na mahakama ya kimataifa inayoshughulikia sheria za bahari.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hoja ni kwamba ni wapi Warioba aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu? au ni wale Majaji wa Wajita na Wakwaya?Inasaidia nini questioning about his credentials now?
Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.
Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.
Najua wengine watasema sio raiaπππππ