Hakuna RDJ's wakali kama wa EA Radio

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Kwa RDJ'S (Radio DJS) wa vituo mbali mbali vya redio hapa nchini, tukiweka pembeni sijui redio inayosikilizwa sana, coverage, hakuna maDJ wa redio wanaotisha kwa sasa kama maDJ wanaotoka East Africa Radio,

Dj Summer - Mzee wa amsha amsha na mikuno ya kutosha
Dj Niki HD - Mtu mbaya sana huyu siku za jmos kwenye Amsha popo msikilize ana ujua sana mziki wa nje
Dj Dea - Hatari kwa mixing za nyimbo za nje habahatishi
Dj Mackay - Aka the Bull dog, hana mbwembwe nyingi ila huwezi hamisha kidude.

Nilidhani baada ya kuondoka Ommy Crazy, Mafuvu na Sinyorita mziki utashuka ila pameendelea kujidhihirisha kuwa pale ni Nyumba ya Muziki.
 
charldzosias,
wale ma Dj wote wa Wasafi nawafahamu vizuri sana, tena na wengine tangu wanaanza carrer yao mpaka michongo wanastiwa wanafika hapo
 
IPP ni shule wametengeneza watu wengi sana ktk industry hii ya Journalism kuanzia watangazaji hadi ma-dj.
yaani IPP na Sahara Media Group ni vyuo kwa Tanzania
 
Kuna dogo mmoja alikuwepo ijumaa kwenye FNL, dogo anajua kazi yake vizuri
 
wale ma Dj wote wa Wasafi nawafahamu vizuri sana, tena na wengine tangu wanaanza carrer yao mpaka michongo wanastiwa wanafika hapo
Unamjua Kidlax?
Unamjua DJ Y.O.B? My best DJ anangonga ngoma kama mwehu
Unamjua Dj Jacko?
Unamjua Dj Mina?
Unamjua DJ Lucky?

Wapo wengi wengine baadae tuanze na hao na uniambia playlist zao zikoje na yupi anakuwa mkali kwenye ngoma za aina gani
 
Unamjua Kidlax?
Unamjua DJ Y.O.B? My best DJ anangonga ngoma kama mwehu
Unamjua Dj Jacko?
Unamjua Dj Mina?
Unamjua DJ Lucky?

Wapo wengi wengine baadae tuanze na hao na uniambia playlist zao zikoje na yupi anakuwa mkali kwenye ngoma za aina gani
Hivi guyu dogo Bahati anayejiita Dj Lucky naye ni mkali?
Kama ni hivyo basi mzee utakuwa haujui maana halisi ya Mkali.
 
mafuvu alikuwa tatz yule jamaa kwenye kipnd cha saa 7 (power jum)mchana kipnid cha nyuma alikuwa anatangaza sammisago na anna pita half juma mosi planets bongo cha dula ilikuwa noma mzee mwenzang
saiv sijui yuko wap fuvu baby
 
Kuna huyu dj sijui kama bado anapiga liquid pale anajiita Hamidu Jr, hiki ni kipaji ambacho naona redio nyingi hawajakiona ila kinajua sana kumix ngoma. Nlisikiliza vibes zake mara 2 mwaka jana nikasuuzika sana moyo.
 
Ma DJ wenyewe hawapigi ngoma kutoka label ya wcb na huku wakujua ni Kali
 
Hivi guyu dogo Bahati anayejiita Dj Lucky naye ni mkali?
Kama ni hivyo basi mzee utakuwa haujui maana halisi ya Mkali.
Kumjua sana haiwezi kuondoa ukweli kuwa anaweza.
DJ ili awe mkali sio namna anavyo scratch machine DJ ili awe mkali ni lazima awe na playlist ya maana.
.
Mfano Dj Lucky ana session ya kupiga nyimbo za Singeli au Throw back basi ni lazima awe na playlist kali ya ngoma hizo, Lucky ni mtu mbaya sana.
Also my men DJ Delvik
 
kwani ni mtu gani aliyesema hapa dj mzuri lazima awe na scratch tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…