mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Kwa RDJ'S (Radio DJS) wa vituo mbali mbali vya redio hapa nchini, tukiweka pembeni sijui redio inayosikilizwa sana, coverage, hakuna maDJ wa redio wanaotisha kwa sasa kama maDJ wanaotoka East Africa Radio,
Dj Summer - Mzee wa amsha amsha na mikuno ya kutosha
Dj Niki HD - Mtu mbaya sana huyu siku za jmos kwenye Amsha popo msikilize ana ujua sana mziki wa nje
Dj Dea - Hatari kwa mixing za nyimbo za nje habahatishi
Dj Mackay - Aka the Bull dog, hana mbwembwe nyingi ila huwezi hamisha kidude.
Nilidhani baada ya kuondoka Ommy Crazy, Mafuvu na Sinyorita mziki utashuka ila pameendelea kujidhihirisha kuwa pale ni Nyumba ya Muziki.