Hakuna RDJ's wakali kama wa EA Radio

Nimejibu swali mzee vipi una mihemko au ndo unadamka?
Wasafi Fm lazima uisikilize tuu taka ustake
ndo nalala kwani vipi..?? mihemko yangu utaweza kuituliza bibie?

ishu sio kusikiliza wasafi fm nasikiliza popote ninapotaka.

ishu ni madj..!.yaani unapinga kabisa eti dj lucky sijui. huyo lucky utamfananisha na nan pale east africa??
 
ndo nalala kwani vipi..?? mihemko yangu utaweza kuituliza bibie?

ishu sio kusikiliza wasafi fm nasikiliza popote ninapotaka.

ishu ni madj..!.yaani unapinga kabisa eti dj lucky sijui. huyo lucky utamfananisha na nan pale east africa??
Umeanza mipasho ya unyagoni sawa we endelea.
Swali zuri sana DJ Lucky hana wakufananishwa naye maana yeye ni yeye na wengine ni wengine japo wanafanya kazi moja.
.
Ea radio hii inayopiga nyimbo ka wameeka flash 😝😝😝 Mungu na atuone kwakweli
 
tufanye umeshinda wewe.. 🙏🙏🙏
 
Duuub basi mkali itakuwa tofauti na maana halisi ya mkali.
 
Tatzo linalotusumbua ni hili..
Jitu likiwa linaskiliza radio station moja basi zingne huwa askilizi.. Na anajiaminisha kuwa hyo ndio bora..

Mie ni Mtaalam wa maswala ya mziki 'nimesomea' ukiachilia mbali taaluma nyngne..

Dj mkali ni yule mwenye ngoma kali na mpangiliaji mzuri..

Dj lucky hatabiriki.. Anakuja na trap,reggae sku nyingne anapga afro pop,old schol,au anagonga rnb.. Yan hana formula kote anafiti..

W-fm,wana ma dj wengi sana i thnk hata 10 wanafika na kuzdi.. Wote wakali..
Mie ni mpenzi wa good music,wasafi fm wanajua.. Na kila siku napata new idea of dfrnt thngz technically..

Uktak kuwajua djz wa wfm ni wakali fatilia plylist zao za flashback za ngoma za kibongo.. Utajua wana stock kias gani.. Usikalili.. Jaribu kuskiliza upand wa pili na kuacha ujuaji
 
mafuvu alikuwa tatz yule jamaa kwenye kipnd cha saa 7 (power jum)mchana kipnid cha nyuma alikuwa anatangaza sammisago na anna pita half juma mosi planets bongo cha dula ilikuwa noma mzee mwenzang
saiv sijui yuko wap fuvu baby
Mafuvu anapiga mishe zake sasahv, usiku kuna sehemu anakiwasha, mchana yuko Barbershop yake
 
Kuna huyu dj sijui kama bado anapiga liquid pale anajiita Hamidu Jr, hiki ni kipaji ambacho naona redio nyingi hawajakiona ila kinajua sana kumix ngoma. Nlisikiliza vibes zake mara 2 mwaka jana nikasuuzika sana moyo.
wanaweza kuwa wamekiona ila hawana mpango nacho, au hakuna nafasi,

pia tambua sio Djs wote wanaopiga redio wanaweza Club, na sio wote wanaoweza Club wanaweza kuplya redio, kila sehemu ina maudhui yake,

Mfano Dj Jeff Jerry wa KISS FM ni mkali sana kwa Ngoma za Hip Hop naweza sema namba1 kwa sasa redioni, ila Club hawezi
 
Kwa sasa Dj Scratch designer ndo the best kwa upande wangu

Dj Dea naye yuko poa sana hasa kwenye pini kali za mamtoni(mixing zake ni nzuri)
 
Kwa sasa Dj Scratch designer ndo the best kwa upande wangu

Dj Dea naye yuko poa sana hasa kwenye pini kali za mamtoni(mixing zake ni nzuri)
Yaani we upo kwenye mawazo yangu kabisa, Scratch designer huyu dogo ana mixing kali sana na mikuno heavy vile vile kwa Dea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…