Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Nimejibu swali mzee vipi una mihemko au ndo unadamka?kwani ni mtu gani aliyesema hapa dj mzuri lazima awe na scratch tu??
Wasafi Fm lazima uisikilize tuu taka ustake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu swali mzee vipi una mihemko au ndo unadamka?kwani ni mtu gani aliyesema hapa dj mzuri lazima awe na scratch tu??
ndo nalala kwani vipi..?? mihemko yangu utaweza kuituliza bibie?Nimejibu swali mzee vipi una mihemko au ndo unadamka?
Wasafi Fm lazima uisikilize tuu taka ustake
Umeanza mipasho ya unyagoni sawa we endelea.ndo nalala kwani vipi..?? mihemko yangu utaweza kuituliza bibie?
ishu sio kusikiliza wasafi fm nasikiliza popote ninapotaka.
ishu ni madj..!.yaani unapinga kabisa eti dj lucky sijui. huyo lucky utamfananisha na nan pale east africa??
tufanye umeshinda wewe.. 🙏🙏🙏Umeanza mipasho ya unyagoni sawa we endelea.
Swali zuri sana DJ Lucky hana wakufananishwa naye maana yeye ni yeye na wengine ni wengine japo wanafanya kazi moja.
.
Ea radio hii inayopiga nyimbo ka wameeka flash 😝😝😝 Mungu na atuone kwakweli
GHalikuwa anaitwa nani huyo
DJ Mina alikuwepo EFM
Duuub basi mkali itakuwa tofauti na maana halisi ya mkali.Kumjua sana haiwezi kuondoa ukweli kuwa anaweza.
DJ ili awe mkali sio namna anavyo scratch machine DJ ili awe mkali ni lazima awe na playlist ya maana.
.
Mfano Dj Lucky ana session ya kupiga nyimbo za Singeli au Throw back basi ni lazima awe na playlist kali ya ngoma hizo, Lucky ni mtu mbaya sana.
Also my men DJ Delvik
Mafuvu anapiga mishe zake sasahv, usiku kuna sehemu anakiwasha, mchana yuko Barbershop yakemafuvu alikuwa tatz yule jamaa kwenye kipnd cha saa 7 (power jum)mchana kipnid cha nyuma alikuwa anatangaza sammisago na anna pita half juma mosi planets bongo cha dula ilikuwa noma mzee mwenzang
saiv sijui yuko wap fuvu baby
wanaweza kuwa wamekiona ila hawana mpango nacho, au hakuna nafasi,Kuna huyu dj sijui kama bado anapiga liquid pale anajiita Hamidu Jr, hiki ni kipaji ambacho naona redio nyingi hawajakiona ila kinajua sana kumix ngoma. Nlisikiliza vibes zake mara 2 mwaka jana nikasuuzika sana moyo.
Kuuza na kununuaunajua maana ya Biashara..?
Yaani we upo kwenye mawazo yangu kabisa, Scratch designer huyu dogo ana mixing kali sana na mikuno heavy vile vile kwa DeaKwa sasa Dj Scratch designer ndo the best kwa upande wangu
Dj Dea naye yuko poa sana hasa kwenye pini kali za mamtoni(mixing zake ni nzuri)