Hakuna record label ninayoweza kukubali inisainishe, watanipa nini ambacho sijafanya! – Diamond

DIAMOND KESHAGONGA VICHWA VYA HABARI KWA MARA NYINGINE TENA HII KAMA HAIJAJADILIWA WIKI 2 BASI 3. Yule mwingine akisema anaishi maisha yake ni sawa, ila DIAMOND mnataka haishi maisha ya wengine mpoje wabongo ............. Ndio keshasema kwake kusainiwa na hizo kampuni sio ishu vipi mnataka aseme na yeye anasainiwa kesho au .............. Kipi watamfanyia cha kuridhika yeye ........... Mnapowaorodhesha waliopo kwenye kampuni pia mkumbuke kuna kundi kuuuuuuuuuuuuubwa la wasanii nao wapo kwenye kampuni zao vipi hao hamjawaona ......... HUWA MNALETA MIFANO YA WIZKID JE, HAPA HAFAI KUWA MFANO AU NI VILE UNAWACHOMA ?????????
 

Awe Michael Jackson au yeyote mnaemwona msanii mkubwa,mashuhuri na mwenye wafuasi wengi na hela nyingi kuliko Diamond lakini ni binadamu kama yeye na sio malaika anao utashi wake na Diamond ana utashi wake na hivyo hivyo kila mmoja ana imani na maamuzi ya peke yake.Kwani aliekwambia Diamond hawezi kuja kuwa maarufu na tajiri kuwapita ni nani?Mnababaishwa na weupe wao na uzungu wao? Nao ni binadamu tu wasioijua kesho yao.Keep it Diamond.
 
Tatizo akifanya diamond kinaonekana ooohh sjui maringo mara maskini akipata but ukweli ni kuwa diamond anathink as if the're no boundaries anajiamin and ana malengo.
Hata wizkid alishaachana na hiz label sjui disturbing london etc aliona kuna vitu zinambana.
Tumuache diamond aamue anachotaka after all hajaprove failure [emoji4]
 
huu uzi labdabaada ya miaka miwili unaweza ukaeleweka vizuri wakisikia WCB imewasign wasanii pande zote Afrika, bado sijaona faida ya labels kubwa kwa wasanii wa Africa, ninaamini kuwa hakuna label inayoweza kupambana kama management yake ya Tale, Sallam na Fella, kitu kingine ambacho kakiongelea kinakwepa, ni maslahi "unahitaji awe chini ya label yako uta muoffer nini" yaani umpe suprising offer, kama ni pesa basi umpe ambayo hawezi kuiachieve hata kama hana kwa wakati huo, hauwezi kunipa pesa ambayo ipo ndani ya uwezo wangu, hayo mengine tunajifikilisha wenyewe tu.
 
Sababu amazitoa sasa lete hoja kupingana na hizo sababu!
 
Anafanya kila kitu ili deal la kiba ionekane KA bug mtu anakubal tangazo la tomato akatae deal la Sony inaamaana davido Hana pesa za video au promotion maana nikisema Chris natania
Wivu utawauwa pumbavu
Yani upo serious kabisa unashindwa kutofautisha mkataba wa sonny na tangazo la tomato?
 
Hivi analipa kodi kweli?
 
Kwan ni lazima kuiga tu mambo ya mbele? Mpaka amefika hapo kuna watu wanao mmanage so is better aendelee nao hao
 
1. Nyinyi mnaolinganisha akina Michael, Drake, Chris n.k kitu msichoelewa ni kwamba mazingira ya soko la mziki wa Bongo/africa na mazingira ya soko la mziki wa marekani yako tofauti kabisa.. Mfano mziki wetu kipindi chote hiki umejiendesha bila kuwa na label serious ndio kwanza sasa zinaanza kuibuka akina WCB kitu ambacho kwa soko la mziki wa marekani hakiwezekani..

2. Kwa label za ndani ya Africa nakubaliana kabisa na Diamond hakuna label inayoweza kumuofa dili lenye maana ambalo hawezi yeye mwenyewe kufanya binafsi! Jiulize label gani afrika wanaweza kumpa dili ya kumdatisha diamond? Mavins? Selebobo? YNBL? DWM/HKNK?
Na ukiongelea hao akina Sony, Universal hao ndio sufuri kabisa hawaliwezi soko la mziki wa afrika..

3. Wasanii wote nguli na wenye mipango na network wanajiongeza kwa kuwa na label zao ili wafanye biashara zaidi ya mziki na watoe fursa kwa wengine.. Naongelea akina Don Jazzy, Psquare, Davido, Wizkid (soon anazindua label yake), Olamide n.k.

So hongera diamond, future ya WCB ni kubwa sana na ina potential ya kuwa label ya kupigiwa mfano Afrika..
 
Pumbavu ana ameongea utumbo mtupubaf anajiita wakimataifaaaa km kibaaaa ashakuingiaaas huna jins utakubali tu #aje
 
Jamaa kaona mbali, kuingia kwenye label ndio mwanzo wa kuisha kwa msanii, utapewa vihela mwanzoni, siku ukiyumba kidogo label inakutema unakosa direction. Diamond ana label yake, so far ndio label inayotisha bongo, with time ameanza kuwatoa wasanii wa bongo nje kama sasa hivi Harmonize anatoa track mpya na Korede Bello, hii label ya jamaa itatikisa Afrika nzima ndani ya miaka 5 ijayo atakua anashindana na Mavins Record. Subiri siku uje usikie kavuka net worth ya $20M+ ndio utakuja kuamini hakuna label ambayo ingemfikisha hapo.
 
Nimesoma comments,nimdgundua Tanzania tunasumbuliwa na ari ya uthubutu.Ni waoga na tunapenda miteremko.
Simtofautishi sana Diamond na vijana wanaoamua kujiajiri badala kuajiriwa kwa kimshahara kisicho tosha na magoti kwa boss kila siku.
Hakuna anayepata mafanikio makubwa bila kutake risk.

Risk takers ndo money makers.

Kwa upande mwingine si kwamba wanaosajiliwa na hizo lebo wanakosea Nop! Kama huna capital na bado hauna influence ya kutosha kujifanikisha peke'ko bas unaweza tumia hyo opportunity lakin usibweteke.

Moyo wenye kujiamini,usiogopa na moyo wenye kuthubutu ndio moyo unaoshinda daima.
 
Kwa mtu anayeelewa muziki na biashara ya muziki atakubaliana na Diamond.
50 Cent kwa sasa hayupo chini ya record label yoyote ile. Na anasema label nyingi zinanyonya na kwa kiasi kikubwa mkataba wake na Aftermath na Interscope ulimnyonya.
Suge Knight ambaye alikuwa muanzilishi wa Death Row Records ameshawahi kulizungumzia hili jambo. Na akatolea mfano wa msanii Kendrick Lamara namna mkataba wake na Aftermath unavyommaliza.
Nipsey Hussle ni rapper wa marekani ambaye hayupo chini ya record label yoyote ile.
Kwa msanii kama Diamond anahitaji mkataba ambao upo beyond zaidi ya promotion ya Audio na Video,sababu anayo capital.
Ndio maana nakumbuka interview moja Rapper Wale aliyofanya na Forbes Magazine alisema ni wasanii wachache wanaofaidika na mauzo ya albums,wengi ni shows ndio zinawapa pesa.
Mfano mwengine ni Rapper Tyga kutoka USA ambaye amewahi kukiri kuwa hajawahi kupokea pesa yoyote kutokana na mauzo ya albums au single
 
Reactions: me1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…