samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
DIAMOND KESHAGONGA VICHWA VYA HABARI KWA MARA NYINGINE TENA HII KAMA HAIJAJADILIWA WIKI 2 BASI 3. Yule mwingine akisema anaishi maisha yake ni sawa, ila DIAMOND mnataka haishi maisha ya wengine mpoje wabongo ............. Ndio keshasema kwake kusainiwa na hizo kampuni sio ishu vipi mnataka aseme na yeye anasainiwa kesho au .............. Kipi watamfanyia cha kuridhika yeye ........... Mnapowaorodhesha waliopo kwenye kampuni pia mkumbuke kuna kundi kuuuuuuuuuuuuubwa la wasanii nao wapo kwenye kampuni zao vipi hao hamjawaona ......... HUWA MNALETA MIFANO YA WIZKID JE, HAPA HAFAI KUWA MFANO AU NI VILE UNAWACHOMA ?????????