Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #41
Ndio kusema anafurahi ufisadi unaofanyika Chadema uendelee?Hahaha Mkuu naacha rasmi inaonekana unaumia sana
Sorry brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kusema anafurahi ufisadi unaofanyika Chadema uendelee?Hahaha Mkuu naacha rasmi inaonekana unaumia sana
Sorry brother
Nani kakuzuia kuweka hiyo orodha?Kaa kimya wewe hujui kitu.tukiweka orodha hapa utakimbia jf
🤣🤣🤣Sikuelewi. Jimbo gani? Ili iweje?
Chadema ina nguvu sana nchi nzima hadi chattle.Inashangaza sana kwa watu wenye akili timamu kumchukia mtu ambae amejitolea kulisaidia taifa kuibua ubadhirifu au ufisadi.
Mwita Waitara alijilipua ili kuupa umma wa watanzania ukweli juu ya unadhirifu unaofanyika ndani ya Chadema.
Mwita aitara amefanya jambo hili kwa kutumia haki yake ya kikatiba kama ibara ya 18(d) ya katiba ya JMT inayotoa haki ya kupashana habari juu ya mambo muhimu ya jamii ya Tanzania.
Mfano ni nani alikuwa anafahamu kuwa mwenyekiti wa Chadema alikuwa anaikopesha Chadema bila maandishi na sasa analipwa mil 50 kila mwezi?.
Hivyo sioni sababu ya watu kumchukia mpiga mbiu huyu ambae amelisaidia taifa kufahamu mengi yaliyokuwa yamejificha.
Jana kuna watu walimfanyia vurugu wakati anafanya shughuli za kiserikali. Inashangaza sana wanachama na wafuasi wa Chadema kufurahia kuwa alitaka kupigwa kama mwizi. Wakati ukweli ni kuwa aliondoka baada ya watu waliotumwa kumletea vurugu.
Hivyo kama mtu anasema ukweli hakuna haja ya kumchukia bila sababu. Maana ameisaidia jamii yetu kupata ukweli.
Kujilipua sio njia pekee ya kuweka wazi malalamiko ambayo unahakika yapo ya yanatakiwa kupata majawabu. Na kitu kingine ambacho tunaweza kukiona kibaya leo kumbe uchunguzi huu unaweza ukakitengeneza chama.Ningemwelewa tu kama angejilipua na kuupa umma wa watanzania maovu ynayotendwa na ccm na serikali yake.
Kwa hiyo unakubali kuwa si kila analofanya ama kusema Mwenyekiti wa Chadema ni sahihi na wanaompinga hawajanunuliwa??? 🔨Hakuna aliyetumwa pale. Ifike mahali tukubaliane kwamba si sawa kudhani kwamba kila anachofanya au anachosema kiongozi ni sahihi na kila asiyekubaliana nacho ametumwa au amenunuliwa
Haya ni mawazo mgando. Ni sawa na kukwepa ngumi kwa kufumba macho
Maovu gani? Kuimarisha sekta ya afya? Kuimarisha miundo mbinu? Kudhibiti mafisadi na wabadhirifu?
Ndiyo wewe mkuu, kwani hujijui?Kwa hiyo Ussr ndio mimi? Au mnaweweseka.
Mara mia mbowe kuliko jiwe, sidhani kama hata kibila lake unalijuaChadema kule hamna kitu , JPM anafanya fresh Tu kukipiga nyundo hcho chama, haiwezekan watu wote waondoke kule wakimtuhumu mwenyekiti , Cha-cha , wangwe, Zitto, Slaa, waitara , sumaye , katambi , lowasa , n.k , tuseme Tu ukweli mwenyekiti ndo tatizo , chama kimekuwa kikubwa lakn anakiendesha Kwa fikra zile zile za mwaka 40 , za upigaji ..... Aache hzo bhana , af kuna mijitu humu inajua kabisa mwenyekiti ni uozo but they are fighting to defend the guy...yaan watu wa namna hyo huwa nawaona mapopoma aisee
Kichwani zimepungua.