Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Uhasimu hapo. Na hao wamewekwa pamoja kwa makusudi. Ulikuwepo uwezekano wa kuwa separate.Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
View attachment 3196909
Wasingezungumza wala ku share hiko kitabu. 😂😂😂.. uliona ile picha Mbowe aliposalimiana na Makondo, Lema alifanya nini?Utofauti wake ni upi?
Haikuwa Mwinyi, alikuwa Dokta SheinMaalim Seif pia aliwahi kukataa kumpa mkono Hussein Mwinyi kwenye msiba.
Wa huku unaongozwa na umaskini kule unaongozwa na akiliUtofauti wake ni upi?
mnajidanganyaga sana, mnadhan IQ zao ni sawa na zenu na ccm? Hao ni mahasimu kweli, real. Kwenye politics. Trump atasema jambo tu.Hao hata sio mahasimu Obama alimuengua Biden ili kutengeneza njia kwa Trump wote wanafanya kwa ajili ya USA
Njoo kwa Gambo na Konda boy sasa
Jiwe ali mind kinomaHaikuwa Mwinyi, alikuwa Dokta Shein