Hakuna sehemu ngumu kama mazishi yanayowakutanisha mahasimu pamoja

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao hata sio mahasimu Obama alimuengua Biden ili kutengeneza njia kwa Trump wote wanafanya kwa ajili ya USA
Njoo kwa Gambo na Konda boy sasa
 
Wasingezungumza wala ku share hiko kitabu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. uliona ile picha Mbowe aliposalimiana na Makondo, Lema alifanya nini?
Maalim Seif pia aliwahi kukataa kumpa mkono Shein kwenye msiba.
 
Hao hata sio mahasimu Obama alimuengua Biden ili kutengeneza njia kwa Trump wote wanafanya kwa ajili ya USA
Njoo kwa Gambo na Konda boy sasa
mnajidanganyaga sana, mnadhan IQ zao ni sawa na zenu na ccm? Hao ni mahasimu kweli, real. Kwenye politics. Trump atasema jambo tu.
 
Kwani wanazikwa wao? Azikwe mwingine halafu mahasimu muonyeshane nani zaidi hapna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…