Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

Unachosema ni kweli ila kwa sisi wapita njia kwanza hata izo pisi huwa sikutani nazo af cha pili nilizo bahatika kukutana nazo hazishawishi. Tafran tupu
Wazenji ni waziri kwa sura tu pale ni penyewe inabidi ukutane na mwana anaejua mitaa akipitishe sehemu zinazo wakutanisha mabinti wakusoma nk hasa weekend ni vizuri usoni balaaa labda wengi maumbo Yao ni madogo na wengine wanene huwezi PATA umbo la mbeya kiwepesi zenji ngumu sna sijui kwanini au labda urojo na kacholi, ila usoni ni wazuri sijapata kuona
 
Mpaka apo nshawatoa kwenye bucket list, mi mwanamke naangalia shape sura sio vitu vyangu. Wanafunzi ndo kabisa naweka distance mita 100
 
Mpaka apo nshawatoa kwenye bucket list, mi mwanamke naangalia shape sura sio vitu vyangu
Hahaaaa mkuu hao wapo kibao nenda beach huko jmosi na jpili pita kule utakuja kuleta ushuhuda mkuu kule mabeseni kibao, unakuta beseni limeanikwa juani mkuu acha tu alafu kule faida ni Moja Yale ya dar ya kuwekwa kigodoro kule hakuna kule ni nyama unaziona live na vibikini kiroho safi we piga zako miwani nyeusi tu ili wasikushtukie, utafidi kinoma tena sana na kiyashika unashika ukiomba unaruhusiwa unalishika mkuu🤣🤣🤣
 
Nashangaa sana mkuu kuweka wazi ulikuwa Zenji. Je marinda yako, yako salama? Unaambiwa siku hizi watu wakienda Zenji hawaagi wanaenda na kurudi kimyakimya wanaogopa kuulizwa maswali ya kukera je marinda yako salama?
 
Watanzania bara sehemu mbalimbali kama Zanzibar, Kenya, Rwanda, Burundi, Uganda ukifika ukijitambulisha nigeni imefika wanakuchukulia kama imetoka ulaya,wanatuheshimu Sana na kutuogopa huwezi kukosa chochote tena wanaona fahari Sana kumpa tunda mbongo
 
Hahahaaa
 
Eti ndio mkaamuwa kuongozwa na mwanamke wa Kizanzibari ???
 
dah!
mwenyeji kwakulengesha kwa prostitute kabisa nawe ukajikuta bonge la bosi 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…