Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

Amakweli tembea uone.
Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu.

Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo limeisha.

Si akaita binti mmoja aliyekuwa anapita kama masiara akamwambia ongea na jamaa hapo, bila hiana nikatupa nyavu palepale akakubali, jioni nikala mzigo.

Sasa baada ya kuuliza wanaokuja mara kwa mara huku wakaniambia hiyo ardhi si wazungu si waarabu si wazenji weusi wote wanagawa utamu nje nje.

Astakafhlah.
Ahsnate kwa kuwakilisha Tanganyika tumetupwa sana
 
Dunia nzima wanawake ni walewale, voko zako tu na ushawishi wako kwake mkuu, kwishaaaaaaaaa, ila hii ya kuita barabarani hakujui humjui nimetilia shaka sema angesukumia na picha kidogo, tujiridhishe
Hiyo mimi ishawahi kunitokea mwaka juzi tabora niliingia jioni sasa wakati nakatiza sehemu fulani ndipo nilimuona binti mzuri na kavaa stara anatoka dukani .....nikamuita nikatupia ndoano akajaa akaniuliza umefikia wapi nikamueleza kweli nusu saa baadae akaja nikamchapa ....nikamlazimisha alale hadi asubuhi akaniambia shida anaishi na wazazi wake kwahiyo haiwezekan nikampa 40000 akagoma kupokea...Siku ya tatu akaniambia leo nakuja kulala hadi asubuhi kweli akaja sasa baada ya shughuli nililala fofofo nimekuja kustuka ni alfajiri ananiamsha kuwa muda wa kuondoka umewadia nikampa kimoja akaondoka....sasa mchana katika kuchart ndipo akaniambia unaniaminije wakati haujui kwetu na mbaya zaidi umebeba pesa nyingi hivyo aisee niliogopa sana kwasababu pesa zenyewe sio zangu ni za tajiri wangu kiukweli alinipa somo kubwa mno kumbe usiku yule alipoona nimelala alikagua mizigo yangu mpaka akaziona hizo pesa....nishawahi kumleta mtwara sema tofauti ya dini tu ningemuoa.....tukio hilo nikifikiria huwa naogopa sana kwasababu angekuwa muhuni akapita na pesa zile sijui ningemueleza nini mwenyewe
 
Pole mkuu be care sana, mabinti wamechoka kuchezewa siku hizi, Kuna muda anatamani yeyote kikubwa ana pumua tu
 
Huja mpenda mkuu unge kua umempenda unge badili dini wewe
Mkuu hapana mimi dini ukiachana na kurithi kwa mzazi ambae ni baba ambae kwanza hata sijawahi kukaa nae pamoja sana ila ndicho kitu muhimu mno maishani mwangu na ninajivunia kuwa mkristo.....ingekuwa hivyo ni zamani sana ningekuwa nishasilimu kwasababu kwanza kuanzia mama yangu na ndugu zake wote ni waislamu tena wenye kuijua hasa dini ila nililelewa na mjomba ambae familia yake mzima ni sunni kwahiyo kulitumika kila njia ila waligonga mwamba,,,,kama Kuna watu wa mikindani humu ndani washanijua tayari
 
Basi vyema mkuu
 
Yaani huyo binti isingekuwa tofauti ya dini ningemuoa kabisa nishampitisha katika majaribio mengi ila alishinda,,,Namuombea kwa Mungu apate mwanaume sahihi
Acha ufala dini ndio itakuzalia na kutunza familia,muoe hata nyumba ndogo.
 
Hapana kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu dini kwasababu kila mmoja kazaliwa kivyake na pia atakufa pekeyake kwahiyo kwangu dini ni kitu muhimu sana na ndio namba moja kwangu
 
Back
Top Bottom