KING NEBUCHADNEZZAR
New Member
- Jul 30, 2024
- 1
- 7
Nimechek series nyingi sana za mablack America ila mpaka sasa sijakutana na series kali kama hii kuanzia stori mpaka wahusika wake ni balaa.
Itafute kama hujaichek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3057042
Nimechek series nyingi sana za mablack America ila mpaka sasa sijakutana na series kali kama hii kuanzia stori mpaka wahusika wake ni balaa.
Itafute kama hujaichek
Mbona namuona mtu kama Curtis Jackson 50centNi kali sana hata mi nakubali maunyama ya Jerome mle ndani ameua vibaya mno.
Ila baada ya hiyo kuna Power
View attachment 3057069
Hili dude ni habari tofauti, classic and gangstar.Unaijua godfather of harlem
Pawa inaenda vizuriNi kali sana hata mi nakubali maunyama ya Jerome mle ndani ameua vibaya mno.
Ila baada ya hiyo kuna Power
View attachment 3057069
Ndio Series yake hiyo humo ndani jamaa ni bonge la mafia ilibidi ndugu yake am snitch kwa mamwela ili tu kumuepuka.Mbona namuona mtu kama Curtis Jackson 50cent
Umeicheki?Pawa inaenda vizuri
Hii naipakua leo usiku nimecheki IMBD nimeiona ina rate ya 8.1
hii hutojutia bonge la series uwa sitazami kazi mbovu hahahHii naipakua leo usiku nimecheki IMBD nimeiona ina rate ya 8.1
Japo nikikumbuka hata Homeland nayo ina 8.3 ila fresh tu nimeamua kutake risk