Hakuna series kali ya mablack America ya kuishinda hii

Hakuna series kali ya mablack America ya kuishinda hii

Hiyo Kali sana
Ila Kuna the wire, na power book
Hii the wire kwa wakongwe wa series tunaikubali, hizi za siku hizi ni cha mtoto sana
1000011336.jpg
 
Mimi jamani Sijawahi kuelewaga series za black america ambazo kitu kidogo gangstar/motherfucker/wagwan men

mimi mambo yangu ni GANGS OF LONDON/ FURIES/CROOKS
 
Mayor of kingstown
Hii niliangalia season moja nikaitupilia huko nikaona Hakuna cha kujifunza.. nilihisi kwakua yule jamaa namkubali kwenye avengers nikajua ameigiza mambo ya msingi nikajionea mapicha picha.
Kitu pekee nilichokitoa mule ni Quote ya bunny When there’s peace in the jungle, you gotta enjoy the quiet.
 
Episode ya pili now tangu uipendekeze kule kwenye ile mada. Nitatembea mayo hiyo na ile hotel cocaine
Icheki ukimaliza unaweza kuendelea na hizi

Hizi zote ni kazi ya 50
1722370761859.png


Mi leo nilikuwa namalizia presumed innocent
 
Nimetoka kuimaliza season 3 muda huu

Ni kali ila wangetisha zaidi kama wangeweka muendelezo wa Bumpy Johnson kufanya revenge ya kifo cha Malcom
nadhani walikuwa wanaiweka kwenye mfumo wa True story baadhi ya parts
 
Back
Top Bottom