Hakuna series kali ya mablack America ya kuishinda hii

Hii naipakua leo usiku nimecheki IMBD nimeiona ina rate ya 8.1

Japo nikikumbuka hata Homeland nayo ina 8.3 ila fresh tu nimeamua kutake risk
Mkuu unajua movies....mimi always huwa ninaangalia rate ya imdb kwa movies zinazokuwa suggested kwangu. Sijiendei tu hovyo ilmradi kucheck kila movies.
 
Mimi jamani Sijawahi kuelewaga series za black america ambazo kitu kidogo gangstar/motherfucker/wagwan men

mimi mambo yangu ni GANGS OF LONDON/ FURIES/CROOKS
 
Mayor of kingstown
Hii niliangalia season moja nikaitupilia huko nikaona Hakuna cha kujifunza.. nilihisi kwakua yule jamaa namkubali kwenye avengers nikajua ameigiza mambo ya msingi nikajionea mapicha picha.
Kitu pekee nilichokitoa mule ni Quote ya bunny When there’s peace in the jungle, you gotta enjoy the quiet.
 
Episode ya pili now tangu uipendekeze kule kwenye ile mada. Nitatembea mayo hiyo na ile hotel cocaine
Icheki ukimaliza unaweza kuendelea na hizi

Hizi zote ni kazi ya 50


Mi leo nilikuwa namalizia presumed innocent
 
Nimetoka kuimaliza season 3 muda huu

Ni kali ila wangetisha zaidi kama wangeweka muendelezo wa Bumpy Johnson kufanya revenge ya kifo cha Malcom
nadhani walikuwa wanaiweka kwenye mfumo wa True story baadhi ya parts
 
nadhani walikuwa wanaiweka kwenye mfumo wa True story baadhi ya parts
Hata hivyo nimefuatiia nimegundua season 4 iko njiani na inaweza kuachiwa mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…