Makengeza huyu?Kwa mfano Freeman Mbowe tumeshamjua hata kabla hajatoa ushahidi wake wa kishetani.
Very true.Kwa sisi wakristo tunajua
Luka 8:17
[17]Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kutokea wazi.
For nothing is secret, that shall not be made manifest; neither any thing hid, that shall not be known and come abroad.
Ila c n huyu huyu mbowe mlikuwa mnamsifia mpaka kumuona n mungu mdogo 😂 kwel siasa n akiliKwa mfano Freeman Mbowe tumeshamjua hata kabla hajatoa ushahidi wake wa kishetani.
Huyu huyu na wale vifaranga wake aliowatanguliza Chaummwa.Makengeza huyu?
Huyu makengeza atakufa kifo kibaya sana cha matesoKwa mfano Freeman Mbowe tumeshamjua hata kabla hajatoa ushahidi wake wa kishetani.
Wewe wasemaIla c n huyu huyu mbowe mlikuwa mnamsifia mpaka kumuona n mungu mdogo 😂 kwel siasa n akili
AmenKwa sisi wakristo tunajua
Luka 8:17
[17]Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kutokea wazi.
For nothing is secret, that shall not be made manifest; neither any thing hid, that shall not be known and come abroad.
Mahakama imetoa uamuzi wa ajabu sana. Wakati wa cross examination, attention ya judge na cross examiner haiishii kwenye maneno yanayosemwa. Yapo mawasiliano yanayokuwa decoded from body language ya mtoa majibu. By paying attention to the body language of the witness, experienced adjudicators and litigators wanaweza kutambua majibu yenye viashiria vya uongo kirahisi na kuyafanyia scrutiny zaidi.Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki.
Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa.
Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta ushahidi wa tishio la kushambuliwa kwa vile atatoa ushahidi dhidi ya Lisu. Sasa kwa nini mashahidi watoe ushahidi kwa kificho?
Waliomtengenezea Lisu kesi wamejawa na aibu ya ushetani walioufanya, ndiyo maana wanazidi kuhangaika kwa kufanya ushetani zaidi unaozidi kuwadhihirisha jinsi walivyojawa na ushenzi.
Lakini kwa hakika nawaambieni, hakuna shahidi wa kutengenezwa hata mmoja ambaye hatajulikana.
Lakini pia hao mashahidi wa kutengenezwa wajue kuwa baada ya huo ushahidi wa kutengenezwa, kamwe hawataionja amani mioyoni mwao maisha yao yote. Na waliowapa hiyo kazi, kwa kuwa wanajua CCM haitadumu madarakani kwa muda mrefu, ili wasiwe na mashaka kuwa hawa mashahidi wa kutengenezwa siku moja wataitoa hiyo siri, watawaua baada ya muda si mrefu.
Kama wana akili, wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kumuua Imran Kombe aliyekuwa DG wa intelligence. Wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kwenda kumuua Lisu kwa kumshambulia kwa risasi? Aliye hai si huyo mmoja tu ambaye naye yupo gerezani? Mnadhani wameuawa na nani? Si hao hao waliowatuma kwenda kufanya uharamia? Na hata hawa mashahidi wa kutengenezwa, kwa vyovyote, nao wataishia kwenye njia hiyo hiyo. Na hakika watatangulia wao kuondoka katika Ulimwengu huu kabla hata ya Lisu wanayetaka kumwua bila ya hatia yoyote.
LISU HANA HATIA, HATIA YAKE KWA SHETANI, NI KUPINGA UOVU, NA KUETETEA HAKI KWA WATU WOTE. Sina shaka, Mungu atamwinua Lisu, na kuwadhalilisha mashetani yaliyojipanga
Huyo ni AIKA ELI BOWEUamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki.

Ni mara ya kwanza kutoa ushahidi wa aina hiyo? Tulizeni hivyo vikalio vyenu kila kt kulalamika.Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki.
Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa.
Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta ushahidi wa tishio la kushambuliwa kwa vile atatoa ushahidi dhidi ya Lisu. Sasa kwa nini mashahidi watoe ushahidi kwa kificho?
Waliomtengenezea Lisu kesi wamejawa na aibu ya ushetani walioufanya, ndiyo maana wanazidi kuhangaika kwa kufanya ushetani zaidi unaozidi kuwadhihirisha jinsi walivyojawa na ushenzi.
Lakini kwa hakika nawaambieni, hakuna shahidi wa kutengenezwa hata mmoja ambaye hatajulikana.
Lakini pia hao mashahidi wa kutengenezwa wajue kuwa baada ya huo ushahidi wa kutengenezwa, kamwe hawataionja amani mioyoni mwao maisha yao yote. Na waliowapa hiyo kazi, kwa kuwa wanajua CCM haitadumu madarakani kwa muda mrefu, ili wasiwe na mashaka kuwa hawa mashahidi wa kutengenezwa siku moja wataitoa hiyo siri, watawaua baada ya muda si mrefu.
Kama wana akili, wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kumuua Imran Kombe aliyekuwa DG wa intelligence. Wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kwenda kumuua Lisu kwa kumshambulia kwa risasi? Aliye hai si huyo mmoja tu ambaye naye yupo gerezani? Mnadhani wameuawa na nani? Si hao hao waliowatuma kwenda kufanya uharamia? Na hata hawa mashahidi wa kutengenezwa, kwa vyovyote, nao wataishia kwenye njia hiyo hiyo. Na hakika watatangulia wao kuondoka katika Ulimwengu huu kabla hata ya Lisu wanayetaka kumwua bila ya hatia yoyote.
LISU HANA HATIA, HATIA YAKE KWA SHETANI, NI KUPINGA UOVU, NA KUETETEA HAKI KWA WATU WOTE. Sina shaka, Mungu atamwinua Lisu, na kuwadhalilisha mashetani yaliyojipanga
Mtu mzm unaleta porojo zisizo na kichwa wala miguu unajisikiaje. Hizo ni porojo za kijiweniUamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki.
Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa.
Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta ushahidi wa tishio la kushambuliwa kwa vile atatoa ushahidi dhidi ya Lisu. Sasa kwa nini mashahidi watoe ushahidi kwa kificho?
Waliomtengenezea Lisu kesi wamejawa na aibu ya ushetani walioufanya, ndiyo maana wanazidi kuhangaika kwa kufanya ushetani zaidi unaozidi kuwadhihirisha jinsi walivyojawa na ushenzi.
Lakini kwa hakika nawaambieni, hakuna shahidi wa kutengenezwa hata mmoja ambaye hatajulikana.
Lakini pia hao mashahidi wa kutengenezwa wajue kuwa baada ya huo ushahidi wa kutengenezwa, kamwe hawataionja amani mioyoni mwao maisha yao yote. Na waliowapa hiyo kazi, kwa kuwa wanajua CCM haitadumu madarakani kwa muda mrefu, ili wasiwe na mashaka kuwa hawa mashahidi wa kutengenezwa siku moja wataitoa hiyo siri, watawaua baada ya muda si mrefu.
Kama wana akili, wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kumuua Imran Kombe aliyekuwa DG wa intelligence. Wajiulize, wako wapi wale waliotumwa kwenda kumuua Lisu kwa kumshambulia kwa risasi? Aliye hai si huyo mmoja tu ambaye naye yupo gerezani? Mnadhani wameuawa na nani? Si hao hao waliowatuma kwenda kufanya uharamia? Na hata hawa mashahidi wa kutengenezwa, kwa vyovyote, nao wataishia kwenye njia hiyo hiyo. Na hakika watatangulia wao kuondoka katika Ulimwengu huu kabla hata ya Lisu wanayetaka kumwua bila ya hatia yoyote.
LISU HANA HATIA, HATIA YAKE KWA SHETANI, NI KUPINGA UOVU, NA KUETETEA HAKI KWA WATU WOTE. Sina shaka, Mungu atamwinua Lisu, na kuwadhalilisha mashetani yaliyojipanga
Atakufa kinywa wazi na konyagi mkononiHuyu makengeza atakufa kifo kibaya sana cha mateso
Hujui chochote wewe mtoto. Ilifanyika hivyo mara moja, na aliyetajwa kuwa shahidi wa siri alikuja kufahamika kwa uwazi, na ndivyo itakavyokuwa kwa hawa wa sasa. Wtakachofanya ni kutumbukiza vuchwa mavumbini ili wao wasiowaone wanaowaona.Ni mara ya kwanza kutoa ushahidi wa aina hiyo? Tulizeni hivyo vikalio vyenu kila kt kulalamika.