Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile
1. Nchi yenye furaha zaidi.
2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi.
3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk.
Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani?
Hii record huenda ikashikiliwa na nchi za ukanda wa Africa, hususa ni eneo la mashariki.