Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
sio kama wao ni bora kuzidi wengine hapana,bali ni nidhamu,unyenyekevu na utii wao katika kazi jambo hili ndilo linawafanya CMG wavutiwe sana na vijana hawa kutoka Arusha,wasanii wengine mna cha kujifunza kutoka kwa Weusi na show za Clouds